Kuna wengine akikuta kama hivyo unachati na wanawake wengine sasa yeye ndio anazidisha mapenzi maradufu akijua kwamba labda kuna mapungufu upande wake ndio maana umetoka nje... Kifupi hapo huchomoki mkuu 😄kuna muda hadi nliamua kuiacha tu simu hovyo ili aishike akute meseji nazochat na mpenz wangu mwngne ili akasirike tuachane ila cha ajabu amezkuta na ameniambia kanisamehe tuendelee yan kiukweli sielew nachomokaje hap Wakuu.
Kuna wengine akikuta kama hivyo unachati na wanawake wengine sasa yeye ndio anazidisha mapenzi maradufu akijua kwamba labda kuna mapungufu upande wake ndio maana umetoka nje... Kifupi hapo huchomoki mkuu 😄
Madhara ya kukosa malezi yenye upendo utotoni, kiufupi hujui mapenzi/ upendo ni nini, unaogopa na kuona kero kwa sababu ubongo wako haujawa trained kuchakata taarifa za upendo.. how can one be afraid to be loved?Asa ukutane na mkaka ndo ana tabia hizo[emoji18][emoji18]
Kumbe 😳🤔🤔Madhara ya kukosa malezi yenye upendo utotoni, kiufupi hujui mapenzi/ upendo ni nini, unaogopa na kuona kero kwa sababu ubongo wako haujawa trained kuchakata taarifa za upendo.. how can one be afraid to be loved?
Eeh inakera. Mimi kuna mtu mtu mzma na akili zake kila wakati anapiga piga simu kama vile sina kazi za kufanya. Mtu anapiga simu hadi saa tano usiku.Namaanisha umewahi kupendwa na mtu sana, wakati wewe sio kiviile.. mpaka ukaogopa.. ukaona kabisa tunakoelekea huyu atakuja kufanya kitu cha ajabu.. au atakuja kuniletea matatizo. Yaani unapendwa hadi inakua kero..!? Kuna muda mapenzi yakizidi aisee inaboa mtu mpaka unaona ni nini hiki Mungu baba?
Kuna binti mmoja nilianzisha naye mahusiano kiutani utani tu.. baada ya muda binti si akakolea? Jamani yule binti alikua ana mapenzi ya kitoto yaani kila dakika anataka kuwa na mimi, nikiwa nae hataki niondoke, nikiondoka ni simu kila dakikaa yani hadi nashindwa kufanya kazi! Na ole wangu atume msg nisijibu.. inakua kesi. Mwisho nilishindwa nikaamua kubwaga manyanga japo demu alikua pisi balaa!
Vipi wewe umewahi kukutana na hali kama hii ukaona inavyokera?
Hujampenda ndio sababu. Penzi linakuwa la upande mmoja zaidi. Mzani unaelemewa na upande mmojaNadhani wadada wa hivyo wanakuaga na unafuu... mkaka ni anakera jamani[emoji58][emoji58]
Labda kweliHujampenda ndio sababu. Penzi linakuwa la upande mmoja zaidi. Mzani unaelemewa na upande mmoja
Ndivyo ilivyo. Kuna dada mmoja miaka hiyo niliwahi kuingia naye kwenye mahusiano ya kingono, aseeeee sitosahau kadhia ile......Labda kweli
we jamaa una kipaji cha kutunga mashairiMadhara ya kukosa malezi yenye upendo utotoni, kiufupi hujui mapenzi/ upendo ni nini, unaogopa na kuona kero kwa sababu ubongo wako haujawa trained kuchakata taarifa za upendo.. how can one be afraid to be loved?
Someone to care
Someone to share
Lonely hours
And moments of despair
To be loved to be loved
Oh what a feeling
To be loved
Someone to kiss
Someone to miss
When you're away
To hear from each day
To be loved to be loved (to be loved)
Oh what a feeling
To be loved
Maanake alishamweleza hadi mzazi wake kuhusu mapenzi yenu😳😃😃🤔Ndivyo ilivyo. Kuna dada mmoja miaka hiyo niliwahi kuingia naye kwenye mahusiano ya kingono, aseeeee sitosahau kadhia ile......
Alikuwa ananisindikiza hadi chooni na analazimisha aingie ndani wakati najisaidia [emoji15], sikuwa serious sana juu ya penzi letu na tangu mwanzo nilimwambia ukweli maake kiuhalisia ni yeye aliyesababisha hadi tukawa wapenzi.
Nililazimika kuhama mtaa kimya kimya nikampotezea mazima. Mama yake alinipigia kuniomba nisimsababishie binti yake kifo maana alitaka kujiua, wakati huo Mimi sikuwa na undani hiiiiivo juu yake.
Nashukuru baadaye nilijinasua ila ilikuwa tafrani kweli kweli
Baada ya kuwa tumeingia kwenye mgogoro (kila wakati anataka tuwe pamoja)mawasiliano kila dakika, nikichelewa kujibu sms taabu, akipiga simu ikawa inatumika taabu, kaniganda kama kupe, nikaanza kumpotezea na kumkwepa mdogo mdogo shida ikaanzia hapo. Tukakorofishana nikamwelezea mapenzi yaishie hapo.....ilikuwa shida sana kwao ikamlazimu amweleze mama yake kila kitu kutuhusuMaanake alishamweleza hadi mzazi wake kuhusu mapenzi yenu[emoji15][emoji2][emoji2][emoji848]
Nilikuwa naogopa sana kupendwa sana yaani na ninabahati mbaya sana na hilo yaani wanakuwaga kama wamepandwa na mapepo kwakweli nikiona hivyo nilikuwa najivuta mdogo mdogo mpaka tuachanaNamaanisha umewahi kupendwa na mtu sana, wakati wewe sio kiviile.. mpaka ukaogopa.. ukaona kabisa tunakoelekea huyu atakuja kufanya kitu cha ajabu.. au atakuja kuniletea matatizo. Yaani unapendwa hadi inakua kero..!? Kuna muda mapenzi yakizidi aisee inaboa mtu mpaka unaona ni nini hiki Mungu baba?
Kuna binti mmoja nilianzisha naye mahusiano kiutani utani tu.. baada ya muda binti si akakolea? Jamani yule binti alikua ana mapenzi ya kitoto yaani kila dakika anataka kuwa na mimi, nikiwa nae hataki niondoke, nikiondoka ni simu kila dakikaa yani hadi nashindwa kufanya kazi! Na ole wangu atume msg nisijibu.. inakua kesi. Mwisho nilishindwa nikaamua kubwaga manyanga japo demu alikua pisi balaa!
Vipi wewe umewahi kukutana na hali kama hii ukaona inavyokera?
Hii ni kweli😂Too much is harmful ila raha ya kupenda upatane na anaekupenda hata ukiona sms tu kamoyo kanafurahi 😅