Umewahi kuachana na mtu kisa kazidisha mapenzi?

🀣🀣🀣🀣"Jina pia nilishamsahau"
 
unasahau mtu wa 2011 wakati mimi namkumbuka ex wangu wa mwaka 2004 nikiwa shule ya msingi..
 
Judy wangu wa kimara bonyokwa jmn ilikuwa kero Kweli Hadi kanifata singida kwa gharama zake niliogopa san ajabu alinizid mwaka mmoja kuzaliwa na alikuwa amewahi kuzaa kwani mtot wake alikuwa mwaka wa 2 CHUO fln ......

ALINITAMBULISHA HAD KWA MWANAE AMBae mm binafsi niliwaza Kama ingefaha nimuombe nimuoe mwanae ila sikufanya hvyo Ila mtoto nae aliqnza kunikubali mno eti anaiita Bab [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mapenzi bila kugandana siwezi [emoji3]usiponiganda namganda mwingine chakufia nini!haitakiwi unadate kama mpo kambi ya jeshi,ukinikalia kimya masaa 12 kama sababu ya maana kuwa ulikuwa mahabusu ndio ujue tumeachana rasmi
Shida unakuta mfano mtu umeoa tayari, halafu unapata mchepuko ndio anakuganda kiasi icho we utaweza wapi kuvumilia....?
 
Ila binadamu sisi Mungu atusaidie tu. Tukipendwa taabu, tukiigiziwa napo taabu. Hata haieleweki nini tunataka.
Tunataka kupendwa kwa kiasi mtu akitupenda sana tunaogopa πŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…