Umewahi kufika mikoa mingapi Tanzania na ipi uliipenda zaidi?

Shule nimesoma sgd na dar ila kazi lindi....mikoa niliokaa kaa..ni dom atusha na mwanza,mtwara,songea...kote huko sipotei...still bado naona Singida safi kwenye majabali nakula sunsets na lindi safi nakula upepo wa bahari..sina mambo mengi nakula mifumo (bia) kama kawaida bila mbambamba najua kutafuta hela popote..
 
Kwenye mapango ya wazee au Shuleni kizwite ? Kantalamba, inshallah ntafika , Enzi za Air Shengena na Sumri daah haya maisha ni nyoko
Yeah Mpui,Kihanda,Miangalua,Laela&Luiche😃
 
Dar
Tabora
Shinyanga
Simiyu
Mwanza,
Mara
Kigoma
Tanga.

Mara na kigoma panafanana kiasi fulani kwa hali ya hewa na hali ya upatikanaji wa chakula.

Tabora sikuwahi kupaelewa, uswahili mwingi sana hlf maisha magumu sana kule.
 
Na kweli utavumilia.....
So kuna maeneo yana Vumbi kuliko mbeya? Maybe Songea.
Mie sipendi Vumbi,pahala popote penye Vumbi siwezi Tumia sekunde hata moja isiyo yalazima.
Bora ya songea naona hakuna vumbi,Mbinga kuna vumbi sana,

Mwenyewe sipendi vumbi lkn basi tu.

Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
 
Fisi lenyewe ni mnyama hayawani taira.
 
Watu kwa kuzunguka mikoani na vijijini hamjambo, vipi na nje ya nchi mmewahi kwenda au nisiwaingilie maisha yenu..?😄
 
Zanzibar mkoa [emoji849] Zanzibar Ina mikoa 5 mitatu unguja miwili pemba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…