maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,749
- 2,319
Hivi hizo njombe zilimegwa Malawi, Zambia au wapi? Mbona unasema most of the regions are still there wakati najua mikoa mipya imemegwa kutoka iliyokuwepo kabla kwa hiyo mikoa ya zamani haiwezi kubaki vilevile kama kuna mingine imeanzishwa kwa kumegwa iliyokuwepomost of the regions are still there na hata Km zilizoongezeka unazitaja tu Km Manyara, Njombe, Katavi, Geita but izo zingine bado zipo vile vile
Arusha unga limited kinanuka anytime ✅😄1. Kilimanjaro ni home pazuri sana.
2. Arusha ni ujuaji mwingi na unakaa kwa tahadhari muda wote beto ni anytime saa mbili ikukute nyumbani au lodge yenye usalama 😁
3. Manyara pakawaida sana mzunguko wa pesa upo shambani ila amani ipo kiasi. Tatizo kuna mafisi sana, kuliwa na fisi ni anytime ukizubaa usiku hasa nje ya mji 😁
4. Tanga ni pazuri sana kuliko sehemu zote ila tatizo ni mzunguko wa pesa hakuna kabisa.
5.Dar es salaam mitikasi ni mingi.
6.dodoma pakawaida.
7.singida pamezubaa tu
8.morogoro pazuri ila pesa ipo.
9.Iringa pamepoa sana.
10. Kahama pesa ipo ila hali ya hewa chenga.
Shida nini Songea? Nataka kuoa huko ila sijawahi kufika huko.Dar
Mbeya na Songwe
Moro
Njombe
Iringa
Dodoma
Songea/ Ruvuma.
Iringa anytime, Songea sitaki kupaskia sio rafiki kwa Bin adam.
Kupo vizuri mkuu wasikutishe ni mji wenye idadi ya kuridhisha una fursa nyigi za biashara za kilimo maisha yako cheap sana ukiwa na mtaji wa kilimo umetoboa, wanawake wa kingoni wavumilivu na hekima pia wazaz hawana noma piaShida nini Songea? Nataka kuoa huko ila sijawahi kufika huko.
Pamepoa mambo mengine safi tu.Shida nini Songea? Nataka kuoa huko ila sijawahi kufika huko.
Asante sana.Kupo vizuri mkuu wasikutishe ni mji wenye idadi ya kuridhisha una fursa nyigi za biashara za kilimo maisha yako cheap sana ukiwa na mtaji wa kilimo umetoboa, wanawake wa kingoni wavumilivu na hekima pia wazaz hawana noma pia
Shukrani mkuuPamepoa mambo mengine safi tu.
Jinsi ulivyoipata hiyo pisi kirahisi basi na wenzio wataipata hivyo hivyo, karibu bombi hii nyumbi hiiShida nini Songea? Nataka kuoa huko ila sijawahi kufika huko.
Kwa upande wa Zanzibar niliishia Unguja.View attachment 2705519
Je umewahi kusafiri mikoa mingap Tanzania na ipi uliipenda zaidi na ipi uliichukia zaidi?
Sawa nakuja PMHaswaa huko ndo nyumbani kae
Namanyere, Kipili na Kirando ni balaaUmewahi fika Namanyere Nkasi?
Huko ni bora ughairi kuishi sio uambiwe ukae huko
Mbeya ipi? Labda kama unaongelea upepoMbeya Vumbi jingi mno.....
Kabwe, Forest, Uyole, Isyese.....