Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 2705519
Je umewahi kusafiri mikoa mingap Tanzania na ipi uliipenda zaidi na ipi uliichukia zaidi?
Kwanza tuanze na ramani, hii ni ramani ya Tanzania kweli?View attachment 2705519
Je umewahi kusafiri mikoa mingap Tanzania na ipi uliipenda zaidi na ipi uliichukia zaidi?
Ukiishi kigoma nina hakika utafuta hiyo kauli
Mwanza mwanza mwanza, natamani kuweka makao ya kudumu huko,
Bora ukae nakapanya kuliko namanyere
Zanzibar mkoa [emoji849] Zanzibar Ina mikoa 5 mitatu unguja miwili pemba
Kwakweli tujadilianeItabidi jadiliane tuone tunaanzia wapi.
Mwanza, Shinyanga,Tabora,Geita,Kigoma,Dsm, Kilimanjaro,Arusha,Pwani, Iringa,Mbeya,Songwe,Simiyu,Morogoro,Singida, Dodoma,Katavi. Arusha is my favorite city.View attachment 2705519
Je umewahi kusafiri mikoa mingap Tanzania na ipi uliipenda zaidi na ipi uliichukia zaidi?
Mbeya , Mwanza Arusha KigomaView attachment 2705519
Je umewahi kusafiri mikoa mingap Tanzania na ipi uliipenda zaidi na ipi uliichukia zaidi?
Mkuu hapo Kajiado ulikuwa unaishi maeneo gani Oloitokitok ausehemu nilizo kaa, mwanza (pale nyegez) msoma (sabasaba) babati, arusha, morogoro, tanga, kagera (wilaya ya karagwe,kyerwa, bukoba, ngara.) kenya (kajiado) saivi niko moshi_kilimanjaro, (mizunguko hii nilikuwa na kazi za wabosi).
Moro haijawahi nichosha.Dar es Salaam
Kilimanjaro
Arusha
Manyara
Singida
Dodoma
Lindi
Mtwara
Pwani
Morogoro
Tanga
Niseme tu napapenda sana Morogoro.
OgMkoa wa Dar es Salaam ndio baba lao ila, nilikaa Kigoma ni pazuri sana tatizo wenyeji wana mambo ya kiwaki!
Wanakuloga huku wanakupa pole.
Tanga napo ni pazuri ila mzunguko wa hela ni mdogo... Kilimanjaro napo mzunguko ni mdogo... Arusha hadi usome ramani kwa muda mrefu alafu uwe na mtaji wa uhakika... Manyara napo hapaeleweki ila ukipata chimbo lako unabeba mali hadi unakinai.