Umewahi kufika mikoa mingapi Tanzania na ipi uliipenda zaidi?

Umewahi kufika mikoa mingapi Tanzania na ipi uliipenda zaidi?

Mwanza (Home)
Mara
Shinyanga
Singida(Makazi)
DOM
Iringa
Dar
Lindi
Mtwara
Arusha
Simiyu
Manyara

Dar hapana mpinzani, Mwanza ndio nitaweka makazi ya kudumu, Singida bado sijapaelewa, Lindi na Mtwara ukiondoa Bahari sioni cha Maana, Kahama hapa ni [emoji91], Shy Town na Singida ni Kulwa na Dotto!! Ila Baridi la Singida linanichanganya zaidi

Iringa nitarudi tu hata kutembea nilipapenda sana japo Baridi nayo ilinisumbua kidogo!!
 
Kilimanjaro (home )
Arusha
Manyara
Singida
Dodoma
Tabora
Tanga
Dar
Pwani
Morogoro
Iringa
Mbeya
Sumbawanga _Rukwa
 
Dar es Salaam
Kilimanjaro
Arusha
Manyara
Singida
Dodoma
Lindi
Mtwara
Pwani
Morogoro
Tanga

Niseme tu napapenda sana Morogoro.
 
Dar
Arusha
Manyara
Tanga
Moro
Dodoma
Iringa
Tabora
Zanzibar
Ruvuma,
Singida
Rukwa
Mbeya
Kigoma
Mtwara
Pwani.
Kilimanjaro
Hiii ndio mikoa nimefika hadi sasa
 
My Best 10
Dar
Mbeya
Mwanza
Dodoma
Kilimanjaro
Tanga
Arusha
Iringa
Morogoro
Zanzibar
 
sehemu nilizo kaa, mwanza (pale nyegez) msoma (sabasaba) babati, arusha, morogoro, tanga, kagera (wilaya ya karagwe,kyerwa, bukoba, ngara.) kenya (kajiado) saivi niko moshi_kilimanjaro, (mizunguko hii nilikuwa na kazi za wabosi).
Mkuu hapo Kajiado ulikuwa unaishi maeneo gani Oloitokitok au
 
Mkoa wa Dar es Salaam ndio baba lao ila, nilikaa Kigoma ni pazuri sana tatizo wenyeji wana mambo ya kiwaki!
Wanakuloga huku wanakupa pole.

Tanga napo ni pazuri ila mzunguko wa hela ni mdogo... Kilimanjaro napo mzunguko ni mdogo... Arusha hadi usome ramani kwa muda mrefu alafu uwe na mtaji wa uhakika... Manyara napo hapaeleweki ila ukipata chimbo lako unabeba mali hadi unakinai.
Og
 
Back
Top Bottom