Umewahi kukataliwa hadharani kinyume na ulivyotarajia?

That's the courage we all need 🤠
 
Mtu akinikataa hilo ni tatizo lake

Shida ya wabongo tunapenda show off,sasa kama huyo kwenye picha alishindwa nini kumvisha huyo demu faraghani wakiwa wawili,Ili hata kama demu atakataa inabaki aibu ya wawili!

Action equals reaction,ulitegemea kuuza mbele ya demu Ili upate ujiko mbele ya masela na mademu,demu naye kutaka sifa mbele ya shoga zake kuwa ni wa thamani akaamua kupindua meza

Usimpe mtu nguvu ya kuamua thamani Yako ndani ya jamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…