Umewahi kukataliwa hadharani kinyume na ulivyotarajia?

nmependa ulivyomalizia kuwa unayakata mauno😊
 
Sasa huu utoto wa kumspuraiz mtu kwenye mambo sensitive umeuiga wapi?.
sasa hapo sapraizi ni ipi wakati tulipanga na akakubali iwe hivyo?
Alichokifanya alikusudia kukifanya taarifa na utaratibu mzima nilishamjulisha kabla na alikubali ndio maana alishiriki.
 
Nimemkumbuka mwalimu wa kiingereza 😀
 
wengi wao wapo hivi hasa akishapata mtu anaeona anamfaa kwa muda huo ila uzuri hao watu wa hivyo huwa jawadumu sijui kwanini.
Mkuu sisi wanaume uongo mwingi sana aisee hasa kama hujapata tunda.

Sababu inakua jamaa anakua keshamchoka manzi, hawezi kufake ten zile out za mara kawa mara, mawasiliano ya kila muda hawezi.
 
sasa hapo sapraizi ni ipi wakati tulipanga na akakubali iwe hivyo?
Alichokifanya alikusudia kukifanya taarifa na utaratibu mzima nilishamjulisha kabla na alikubali ndio maana alishiriki.
Wakati wa ujana wangu nikifinya ama kuingia katika mahusiano, mwanamke ndiye atakuwa kwanza ku-expose mahusiano yetu na si mimi!.
Nitamkula kimya kimya then utasikia marafiki zangu ama family yangu " kumbe wewe una date na fulani!"
Na mimi nitaonyesha kukataa then watafunguka"katuambia yeye mwenyewe".
Sasa nyie vijana wa siku hizi mnakimbia mbele hadi mnaacha mpira nyuma.
Ikiwa mlikubaliana, why kwake likawa jambo zito na wewe ukaingia kichwa kichwa?.
Next time utaumbuka zaidi!
 
Hi Ina onesha we Ni konkodi wa kugegedwa🤣😂 mshamba_hachekwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…