Umewahi kukutana ana kwa ana na mnyama gani mkali?

Umewahi kukutana ana kwa ana na mnyama gani mkali?

Nikiwa A level Simiyu huko natoka Dormitory niende class kusoma ilikuwa saa nane nilikutana na Fisi kama watatu uzuri wanazengo walishatuambia Fisi wa kawaida huwezi kukutanan nae ila wa kufugwa unakutana nae na kama hajatumwa kwako hakudhuru kwa hiyo nilisimama tu wakapita nikaenda Class kupiga shule
 
Nilikuwa na baiskeli usiku saa mbili ghafla tembo katokea barabarani, niliingia kwenye shimo, kwa ushujaa nikaondoka speed na kumuachia yule tembo akawa anaiponda ile baiskeli. Speed mpaka kwenye bafu wanalooga wanawake, nikapigiwa tena mayowe kuwa nataka kuwabaka. Nikaweleza kisa ndipo wakatulia . Tembo aliondoaka na kuniachia vipande vya baiskeli.
 
Tulikutana na mbwa mwitu hesabu ya haraka haraka walikua Kama mbwa 50+ Ila tulikua kwenye gari hifadhini katavi. Mara ya pili tukiwa Watu 3 kwenye mtumbwi mdogo ziwa rukwa tulikutana na Boko live aliibuka mbele yetu. Lkn wale wangese wakasema tumlenge Kama tunataka kumgonga qmamae ....Ila Boko tulimpo mkaribia Kama mita 3 akazama Chini ya maji ss tukapita juu shwaa! Hadi leo sijajua wale wafipa waliwaza nn Hadi kufanya vile.
 
Back
Top Bottom