Umeongea vema nduguHaya mambo ya mahusiano muhimu watu wakae na wenzao kwa machale, wekeza kwa yule anayeonekana akili yake imetulia kwako, usiwekeze kwa mtu mwenye mapepe ambaye anaonesha dalilu zote safari yenu haitabiriki huko mbele.
Hata kama mwanamke/mume ataonekana kuwa pamoja nawe mwanzo, endelea kuwekeza kwake huku unamchunguza, na wala usiogope kumuwekea mutihani ya majaribio ili kupima uthabiti wa mapenzi yake kwako, mpe mitihani mpaka utapojiridhisha yuko sawa huku ukiwekeza kiasi.
Hii ni tabia ya kusisitiza maumivu yako wakati ulijitakia mwenyewe ni tabia mbaya kabisa.Kuna watu wengi ambao wanapitia maumivu ya namna hiyo, hii ni kwasababu unajikuta umewekeza sana kwa mtu huyo, endapo ikatokea akakuumiza basi maumivu yanapita ndani kabisa, wengi hawawezi vumilia hili na kujikuta wanafanya jambo la ajabu.
Je, umewahi kupitia maumivu haya? Toka kwa nani? Sababu ilikuwa nini na ulifanya uamuzi gani?
View attachment 2833044
Umeeleza kiutu uzima sana na hapo mwisho ndiyo namna bora ya kumwacha mwanamke ambae anapwaya.. unategea akijilengesha unazima data shwaaaa na kusonga mbele na chimbo jipyaHaya mambo ya mahusiano muhimu watu wakae na wenzao kwa machale, wekeza kwa yule anayeonekana akili yake imetulia kwako, usiwekeze kwa mtu mwenye mapepe ambaye anaonesha dalilu zote safari yenu haitabiriki huko mbele.
Hata kama mwanamke/mume ataonekana kuwa pamoja nawe mwanzo, endelea kuwekeza kwake huku unamchunguza, na wala usiogope kumuwekea mutihani ya majaribio ili kupima uthabiti wa mapenzi yake kwako, mpe mitihani mpaka utapojiridhisha yuko sawa huku ukiwekeza kiasi.
Usiwekeze kingi kama vile umeshamuoa, au ameshakuzalia, wekeza kwa akili ukiendelea kumtazama lakini asijue, ili asijue siku nyingine akitaka kitu kama pesa mwambie sina hata kama ipo, ili uione reaction yake kwako, akiwa na tabia ya kuropoka kila mara huyo muache hafai.
Pale utapoona hatabiriki, anza kutafuta chimbo lingine la kuhamia pindi utakapoachana nae, huku ukiendelea kumsindikiza kuisubiri hiyo siku atakayoropoka ukimnyima kitu ndio umbwage rasmi, hapo hutakuwa na lawama.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Kinacho watesa wanaume wengi siyo mapenz kinacho watesa ni time and cost of lovingUngeweka wazi tu kwamba maumivu ya mapenzi yana watesa sana watu
Ni yale yale tu kuwa direct cost and time chanzo chake ni heart break ndo unapata izo time na costsKinacho watesa wanaume wengi siyo mapenz kinacho watesa ni time and cost of loving
Anaweza akawa ndugu, Jirani, rafiki au mpenzi unasemaje katika hiloHii ni tabia ya kusisitiza maumivu yako wakati ulijitakia mwenyewe ni tabia mbaya kabisa.
Unawekezaje kwa mtu anayeweza kukuumiza? Hujamchunguza kabla ya kujipendekeza kwake?
Unaachiaje mtu mwingine akuumize?
Huoni kwamba hii tabia ya kuacha mtu mwingine aweze kukuumiza na kulialia ni tabia ya kibinafsi sana?
Huoni kwamba, kwa mfano, mtu asipokutaka ana uhuru wa kuendelea na maisha yake, na wewe kudai anakuumiza ni kumlazimisha aendelee kuwa nawe kwa nguvu?
Huoni kuwa hizi habari za kusisitiza sana maumivu yako bila kuangalia wengine wanataka nini ni emotional blackmail?
Muachie mwenzio aende, tafuta mwingine.
Mtu baki kuweza kukuumiza ni kosa lako, umemuachiaje aweze kukuumiza?