Umewahi kutana na Mpenzi kichefuchefu wa namna hii?

Yaan hata hakutaka kuniuliza zaidi kazi ikoje,maana mimi nilimuuliza angependelea kazi yenye mshahara kias gan kwa mwez,akawa kimya akawa anauliza kama naweza msaidia hela tu
Sio kila mtu anaweza kazi, binadamu tumeumbwa tofauti. Wapo wakutafuta na wapo wa kupokea, tafuta unaye endana naye.
 
Hawa viumbe baadhi ni chenga sana, wiki iliyopita hapa demu kaomba nimnunulie nguo. Nikaenda nae shop kachagua nguo na viatu nikalipa. Nikampa hela ya saluni nikarudi mihangaikoni kwangu na yeye karudi kwake.

Sasa simu yake imepasuka kioo kumuuliza akasema ilianguka. Nikaamua kumnunulia simu mpya ila sikumwambia so itakuwa ni surprise tu.

Tokea juzi namwambia tuonane anapiga chenga na sababu hakuna.
Jana nikamwambia tena tuonane akasema sawa atanijulisha akitoka ila ikawa kimya. Numemkumbusha mara tatu ila kapiga kimya jioni namuuliza kasema nilijisahau.

Basi nikapiga picha ile simu ikiwa full box na accessories zake nikamtumia whatsapp. Nikamwambia nilikuwa nakuita nikupe simu maana yako imepasuka ila kwa sababu ya ujinga wako na uongo uongo naenda kumpa mke mwenzio kisha nikapiga block kila kona.

Napigiwa simu kama customer care nikisikia tu ni yeye natia block tu.
 
Umetisha Mwamba
 
[emoji23][emoji23][emoji23]hapo hapo weka parking then Tia na handbreak kbisa mpuuzi huyoooo
 
Utapoteza muda sana na resources...
 
Uamuzi mzuri!big up..unatishiwaje na pesa ni zako Eroo!!?
 
Kuna ka dem nafukuzia nikale ila haka ni zaid ya chuma ulster mpka nataka kughairi kukala!!

Dem baada tu ya kunikubali kesho ana shida ni kampa 30k... yan huyu chuma ulete haoni hata aibu kila siku shida haziishi aisee!!

Jana kaniambia anataka kwenda tanga kwenye sherehe ya ndugu yake aliolewa na imepelea 40k nimuongezee..

Sasa ananizungusha tu kunipa tunda nimewambia kistarabu mbona unanibania sana wakati na kujali? Anasema nikirudi uta enjoy ila nimemwambia hapana nataka kabla haujaenda huko.. nilichoamua sasa asiponipa hiyo hela simpl na ninaachana nae tu maana kwasasa lengo langu nikupiga nakusepa tu sihitaji mahusiano na mwanamke tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…