Umewahi kutana na mtu ambaye mawazo yake muda wote yamekaa kingono tu?

Umewahi kutana na mtu ambaye mawazo yake muda wote yamekaa kingono tu?

mzabzab
1732029562054.jpg
 
Inategemea na umeyapa maisha yako thamani kiasi gani,...
Nadhani ishu sio kuyapa maisha yako thamani bali kuweza kudhibiti mihemko yako; kuna mtu nje ya hizo ngono haoni cha maana anachofanya cha kumridhisha kuishi
Mara nyingi naona kama urahibu wa aina yoyote unaanzaga kama burudani na kwa kadri maisha yanavuokupiga hiyo burudani ndio inakuwa kilema maana ndio kitu pekee ambacho ubongo wako unaregister kama faraja
 
Kuna kipindi nilikuwa muathirika wa video za ngono. Yani kila siku niko Telegram naangalia pilau huku nikisindikizia nyeto. Aisee mwanamke ambaye nilikuwa nae pamoja na uzuri wake wote, Kihisia ilifikia ikawa ngumu sana kulizika nae kwa michezo ya kawaida. Kwa sasa nimefanikiwa ku-desexualize akili yangu. Huu uraibu upo jamani na ni mbaya sana, kama bado hujakupata nakushauri achana na picha za ngono kabisa, Nilipofikia siku hizi hata madada wanaopost makalio yao nawaunfollow au kama ni status nafuta namba. Kuitengeneza akili yangu upya imechukua muda ila angalau nimefanikiwa.

Juzi nimesikia yule jamaa na video zake 400, hata sikuthubutu kutafuta maana hili gonjwa sitaki tena. Kuwa makini sana na nini unalisha ubongo wako.
Hongera mkuu umekomboka.
 
Jamani Addiction ya Ngono ni mbaya kuliko addiction ya kitu chochote binafsi nna stori ndefu hasa kwny upande wa kuangalia Video za porn,
Ila Namshukuru Mungu baada ya kukutana na hiki kitabu na kusali mara kwa mara naeza sema kwa sasa nipo vizuri angalau.👇👇👇
 
Attachments

Hii tabia vijana wengi tunayo sana ni ngono muda wote.

Nilikuwa na jamaa yangu yeye akinitafuta ni mambo ya pisi tu mimi nampa michongo ya maana, yeye ni pisi tu. Kuna kipindi nikapitia ukata kweli kweli hali ngumu na mishe sina nikawa namwambia mwanangu tupeane ramani, anashinda siku nzima na harakati zake jioni anakucheki oi mwanangu nilisahau kukushtua kuna mishe ungepiga mchana ungepata hata 10K ila sio mbaya twende viwanja nipe kampani tukanyake pisi kali. Ikawa ndio tabia yake kila akinitafuta ni hivyo nikawaza nikaona huyu sio mwana ataniangamiza nikamchana nikampotezea.
Safi sana ulichukua uamuzi wa kianaume, ungechelewa kidogo tu ungeangamia sana..
 
MKuu haijalishi una kazi una mjengo kwa mwanaume kamili lazima uwazie kutomba
Sio muda wote; sio kwa kila Mwanamke anayepita mbele ya macho yako, sio kwa kila shemeji, sio kwa watoto wa mjomba wako au shangazi yako
Nyie mnaoendekeza hiyo mentality ndio mnaokujaga kusababisha mpaka huko uzeeni ndugu zenu waogope watoto wao kuwatembelea
 
Miaka hii ni ngumy sana mwanaume kamili kutowazia ngono jinsi wanawake na mabinti wanavyojiweka
 
MKuu haijalishi una kazi una mjengo kwa mwanaume kamili lazima uwazie kutomba
Sio muda wote; sio kwa kila Mwanamke anayepita mbele ya macho yako, sio kwa kila shemeji, sio kwa watoto wa mjomba wako au shangazi yako
Nyie mnaoendekeza hiyo mentality ndio mnaokujaga kusababisha mpaka huko uzeeni ndugu zenu
Miaka hii ni ngumy sana mwanaume kamili kutowazia ngono jinsi wanawake na mabinti wanavyojiweka
Mbona enzi za mababu na mababu zetu watu walivaa magoma na matiti yalikuwa wazi lakini hayo yote hayakuwepo?
 
Back
Top Bottom