Umewahi kutana na mtu ambaye mawazo yake muda wote yamekaa kingono tu?

Umewahi kutana na mtu ambaye mawazo yake muda wote yamekaa kingono tu?

Sio muda wote; sio kwa kila Mwanamke anayepita mbele ya macho yako, sio kwa kila shemeji, sio kwa watoto wa mjomba wako au shangazi yako
Nyie mnaoendekeza hiyo mentality ndio mnaokujaga kusababisha mpaka huko uzeeni ndugu zenu
Mbona enzi za mababu na mababu zetu watu walivaa magoma na matiti yalikuwa wazi lakini hayo yote hayakuwepo?
Wale mababu walikuwa vitombi ndio maana walikuwa na mke zaidi ya mmoja
 
Maisha Hayana maana maana kila kitu ni batili , Mimi sema tu sipati wanawake wenye addiction ya mizagamuano tu, Ila kiukweli ngono naipenda sana vitu muhimu kwangu ni kazi, family, ngono pombe na washkaji tu haya Ndio yananipa nafasi nyingine kuona utukufu wa Mungu wa Mimi kuwa hai tena
 
Back
Top Bottom