Umewahi kutana na mtu ambaye mawazo yake muda wote yamekaa kingono tu?

Inategemea na umeyapa maisha yako thamani kiasi gani,...
Nadhani ishu sio kuyapa maisha yako thamani bali kuweza kudhibiti mihemko yako; kuna mtu nje ya hizo ngono haoni cha maana anachofanya cha kumridhisha kuishi
Mara nyingi naona kama urahibu wa aina yoyote unaanzaga kama burudani na kwa kadri maisha yanavuokupiga hiyo burudani ndio inakuwa kilema maana ndio kitu pekee ambacho ubongo wako unaregister kama faraja
 
Hongera mkuu umekomboka.
 
Jamani Addiction ya Ngono ni mbaya kuliko addiction ya kitu chochote binafsi nna stori ndefu hasa kwny upande wa kuangalia Video za porn,
Ila Namshukuru Mungu baada ya kukutana na hiki kitabu na kusali mara kwa mara naeza sema kwa sasa nipo vizuri angalau.πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Attachments

Safi sana ulichukua uamuzi wa kianaume, ungechelewa kidogo tu ungeangamia sana..
 
MKuu haijalishi una kazi una mjengo kwa mwanaume kamili lazima uwazie kutomba
Sio muda wote; sio kwa kila Mwanamke anayepita mbele ya macho yako, sio kwa kila shemeji, sio kwa watoto wa mjomba wako au shangazi yako
Nyie mnaoendekeza hiyo mentality ndio mnaokujaga kusababisha mpaka huko uzeeni ndugu zenu waogope watoto wao kuwatembelea
 
Miaka hii ni ngumy sana mwanaume kamili kutowazia ngono jinsi wanawake na mabinti wanavyojiweka
 
MKuu haijalishi una kazi una mjengo kwa mwanaume kamili lazima uwazie kutomba
Sio muda wote; sio kwa kila Mwanamke anayepita mbele ya macho yako, sio kwa kila shemeji, sio kwa watoto wa mjomba wako au shangazi yako
Nyie mnaoendekeza hiyo mentality ndio mnaokujaga kusababisha mpaka huko uzeeni ndugu zenu
Miaka hii ni ngumy sana mwanaume kamili kutowazia ngono jinsi wanawake na mabinti wanavyojiweka
Mbona enzi za mababu na mababu zetu watu walivaa magoma na matiti yalikuwa wazi lakini hayo yote hayakuwepo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…