Umewahi kuwaza nani atashika simu yako ukifa?

Hakika, inabidi wabadili sucurity.
 
Una tabia mbaya sana!!!!! Unafunguaje files za mtu mwingine bila ruhusa??

Kuhusu passwords, mimi nimeset autosave kwahiyo mtu akiweza kufungua simu yangu tu anaweza ku-access pretty much all of my accounts. ZA bank/mobile money anazijua dogo.

Kwavile sina mambo ya kutisha kwenye simu yangu siku ikifika watafungua tu wafanye wanachotaka.
 
Safi sana ila umeongea kwa hasira sana
 
Alinipa ruhusa nipunguze baadhi ya files zenye videos. So nikawa nafungua kila file kujua kama kuna videos ndani.
 
Hapana Kwa kweli
Nina Assume unatumia Browser: Tatizo ni wewe mkuu, na sio kwamba JF ndio inahifadhi Password zako. Wewe uneruhusu Chrome yako ihifadhi Login Info zako ndio maana zinabaki pale.

Kuondoa hilo nenda kaDissable hiyo option, lakini pia huna haja ya kuUnstall, nenda kwenye Setting kisha Clear Caches and Cookie. Info zako zote hadi searching history zitaondoka.
Kama utaona hiyo ni ngumu kwako pia tumia Search Engine ya Duckduckgo for your browsing privacy
 
Vipi kwa App????
 
Natumia app sio hzo broswer pia Huwa Kuna option unaruhusu na mimi sijai allow kwenye application
 
Natumia app sio hzo broswer pia Huwa Kuna option unaruhusu na mimi sijai allow kwenye application
Mimi binafsi nakuelewa kwa kuwa natumia app pia. Watu wengine huwa wanapenda kulazimisha wanachojua wao ndio uwe ukweli. Umeshasema app ila mtu anakomalia iwe browser [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Duuh hatari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…