KUKULU- KAKALA
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 312
- 1,299
Wakuu Habari! Mungu awe nanyi katika mapambano Yenu.
Kisa hiki ni chá ukweli na kimenitokea mimi mwenyewe kabisa toka Kwa ndugu yangu mmoja.
Nilikuwa nafanya KAZI taasisi moja Hapa nchini Kuanzia mwaka 2021 Hadi mwaka huu mwanzoni. Ni taasisi kubwa yenye malisho mazuri sana. Mwaka 2023 Kuna ndugu yangu ambaye amenizidi Miaka almost 17 alifukuzwa Kazini Enzi za JPM ( may his soul rest in peace). Alikuwa Benchi almost Miaka sita tangu 2017 Hadi 2023 ambapo nilimuunganisha na taasisi na kumpambania Hadi akapata kazi.
Kaka yangu huyu ni SANGUINE na NI CHAWA sana na sikujua Tabia Zake Kwenye taasisi Ambazo amewahi pita ziwe Zile binafsi au serikalini mpaka nilipoanza Kuona makucha yake mwaka 2024 pale Ambapo Alikuwa promoted na boss na akawa chawa pro max WA boss. Kila taarifa iwe ndogo au kubwa Alikuwa anapeleka Kwa boss na Kwetu anajifanya mwema kiasi Cha kwamba wengi hawakumdhania. Kuna siku Jamaa yangu mmoja tuliekuwa kitengo kimoja akaamua aandae mpango wa Kujua ni nani ambaye anapeleka taarifa Kwa Boss akanishirikisha mpango HUO wa mtego ambapo kaka yangu yule pekeake ndo alipewa taarifa kuwa Kuna LOSS IMEINGIZWA KWENYE TAASISI LAKINI BOSS ASIJUE. Bro Wangu Uyo si akachukua taarifa na kumpa BOSS. ndipo ikafahamika Kuwa bro ni snitch na akaanza kutengwa na Kila MTU
Bro akawa na mahusiano na HR (ambaye pia Alikuwa ni mchepuko WA boss) na boss akawa hajui HR akampa bro Kila taarifa za mshahara wa mtu pale bro alivyoona na mzidi mshahara pakubwa tu na Nina kopesheka na TAASISI akaanza kuniwekea visa ili nifukuzwe kazini pale.
Mara anamwambia BOSS fulani amesema akiondoka yeye taasisi INAKUFA... Hadi mambo personal ya KWANGU Alikuwa anapeleka Kwa boss mara unajua Fulani ameanzisha Mradi wake na anasubiri baada ya muda aondoke ndomana uchapakazi wake umepungua. Na uzuri taarifa zote za kunichoma zilikuwa zinanifikia. Mwisho kabisa akaanza kupeleka taarifa mbaya na za uongo Kwa Mama Kuwa Fulani anapokea Hela nzuri tu Lakini anawanawake wengi ndomana hafanyi maendeleo. Bi mkubwa akaja kuniambia Kuwa Niwe makini Naye na sikujua Kwanini anasema hivyo huku yeye ni mwanaye kabisa Uyo bro.
Mwisho kabisa bi mkubwa akamwambia mbona unamfatilia sana mwenzio unataka nini Kwake. Uñataka Kila anachofanya akwambie!??? Ili ujue ana maendeleo.
Mungu alivyomkubwa mwaka huu mwanzoni nimeondoka Kwenye taasisi hiyo Kwa hiyari yangu na kakosana na Boss na kuambiwa baada ya Contract Kuisha hawata renew contract Naye Tena. Juzi ameanza kunitafuta baada ya ukimya wake wa muda mrefu Akitaka nimuunganishe na taasisi ambayo nipo Saizi japo ni Changa ila ni yangu na sina Manyanyaso Tena.
Ushauri; TUJIFUNZE KUWAHESHIMU WALE WATU AMBAO MUNGU ALIWAHI KUWATUMIA KAMA MLANGO WA SISI KUFIKA MAHALI TULIPO