Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,264
- 10,535
Upo sahihi, ukishaishi porini ni lazima uishi kwa mapambano ili usife, tabia hubadilika kulingana na mazingira,Ni kweli anafugika.
Kilicho7bisha mimi kugundua kuwa zile tabia za mwituni hutokana na kugeuzwa kuwa adui tulimpuuzia mmoja akaishi tu nyumbani,alikuwa vyema tu km wengine,mlinzi,muaminifu na msafi pia. Sema zile imani zetu dhidi ya paka wa rangi hizi ndizo upelekea na wao kubadili mienendo ili waishi.
Mbona anaonekana mkubwa sana kama chui?Jangu lubhaka.
Ni paka wa kawaida tu sema baadhi ya jamii hasa kwetu Ujitani akizaliwa paka wa namna hii anafanyiwa figisu sana, yaani anakuwa na maisha ya mwituni huku nduguze wakinywa maziwa na asali hali inayopelekea kuwa adui mkubwa wa kuku, binadamu.
Nadhani kwa Kiswahili huyu ndo PAKA SHUME.
Nimekuja kulichunguza hilo baadae.
Mmhhh kwa profile yako ya ku grind papuch lazima akuogope usijempa kazi asiyoiweza ndio maana akasepaNiliwahi kumuona anapita juu ya ukuta tukakutana uso kwa macho, nikamuita ule mlio anaoitwa paka alitoka ndukii, sijamuona tena hadi leo. Nilisikitika sana maana nilitaka tuongee japo kwa dakika kadhaa nimpe na chakula pia. 🥲
Huyu ndio alionekana Goba ikawa kizaazaa ikidaiwa chui ameonekana Goba hadi maliasili walipotoa ufafanuzi.
Hata nyumbani kukiwa na paka hodari,huwezi kukutana na nyoka akiwa hai.Nyoka akikutana na kipengele hiki anatafuta chochoro ya kujificha😀😀 mimi kiumbe mwenye uadui na nyoka namkubali sana
Search humu uzi wa chui wa Goba. Alionekana 2019Na kunakipindi huko huko Goba waliua nyati....Kwani Goba ipo karibu na National Park /Game Reserve?
Ni kweli kuna siku paka wangu alishaleta nyoka mzima hapa home 😂😂 sasa sisi kuona ivo tukatoka nduki. Nae kuona tumetoka nduki nae akatoka nduki na kumuacha nyoka ndani😬😆 sasa sijui alikua anakimbia nnHata nyumbani kukiwa na paka hodari,huwezi kukutana na nyoka akiwa hai.
Huyo sio Puma wala Duma. Acha uongoPuma (duma)sio paka huyo anakutafuna mchana kweupe ukikutana nae anga zake.
Alafu kidwahili ndio nini?
Elimu, elimu , elimu
Simbamangu ndio yupi huyo?Mkuu sisi waswahili tumekosa maneno kiasi kwamba tunadhani neno paka huwakilisha mnyama 'nyau', lakini paka "cats" ni jina linalobeba familia ya aina ya wanyama wengi ambao kwa pamoja huitwa paka...
Wapo wengi kama simba, simbamangu, duma, chui, mondo, 'jaguar', 'puma', domestic cat (huyu ndio paka wa nyumbani)
Wewe ni mwongo. Huyo mnyama wa porini anazaliwaje nyumbani? Isitoshe ni miongoni mwa wanyama wasioonekana hovyo. MWONGO MKUBWA WEWE.Anazaliwa ila anaitwa "Kimbulu" hafugiki huyo anatabia za wanyama wa mwituni anakula vifaranga hatari.
Akizaliwa anapigwa rungu hapo hapo that is why ni adimu kupatikana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mlimshitua.Ni kweli kuna siku paka wangu alishaleta nyoka mzima hapa home 😂😂 sasa sisi kuona ivo tukatoka nduki. Nae kuona tumetoka nduki nae akatoka nduki na kumuacha nyoka ndani😬😆 sasa sijui alikua anakimbia nn
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jangu lubhaka.
Ni paka wa kawaida tu sema baadhi ya jamii hasa kwetu Ujitani akizaliwa paka wa namna hii anafanyiwa figisu sana, yaani anakuwa na maisha ya mwituni huku nduguze wakinywa maziwa na asali hali inayopelekea kuwa adui mkubwa wa kuku, binadamu.
Nadhani kwa Kiswahili huyu ndo PAKA SHUME.