Umewahi muona paka wa aina hii? Anaitwaje kwa Kiswahili?

Ni kweli kuna siku paka wangu alishaleta nyoka mzima hapa home 😂😂 sasa sisi kuona ivo tukatoka nduki. Nae kuona tumetoka nduki nae akatoka nduki na kumuacha nyoka ndani😬😆 sasa sijui alikua anakimbia nn
Kaona mabosi wanatoka baru ye kaunga tu😅😅😅
 
Niliwahi kumuona anapita juu ya ukuta tukakutana uso kwa macho, nikamuita ule mlio anaoitwa paka alitoka ndukii, sijamuona tena hadi leo. Nilisikitika sana maana nilitaka tuongee japo kwa dakika kadhaa nimpe na chakula pia. 🥲
[emoji28] ulitaka umwambie nini?
 
Bila picha hii comment ni batili...
Alisikika,
Jamaa mmoja wa afrika mashariki ya kati🤣🤣😂😂😂
Napita tu 🤚
 
Niliwahi kukutana nae uso kwa uso juu ya ukuta
Nilipiga yote nikajua mtoto wa cheetah
[emoji28][emoji28]
 
Umenikumbusha nje ya mada

Pilipili kichaa ndio pilipili HOHO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…