Umewahi tembea umbali gani mrefu kwa miguu ndani ya jiji la Dar es Salaam?

Yan me nikiwa kwenye Abood pale Magufuli stand mpaka Shekilango naomba mbali kinomaa, sijui siku ya kutembea itakuwaje????

Kuna siku tena kutoka K/koo mpaka Shekilango kwa boda boda niliona mbali sanaa...
 
Kimara to Ubungo Shekilango
 
Nmb pale [emoji2]
 
Sikumbuki ila nilitembea kutoka masasani mpak temeke kwa mguu baada ya kumaliza hela yote kwenye bar fulani kuja kustuka. Nauli sina


Kutoka morroco mpaka manzese hapa simu ilizima chaji na sikuweza kutoa helaa mpaka nilipo fika mazense


Kutoka muhimbili mpaka studio nilikuwa na stress baada ya kufukuzwa kazi
 
Kkoo mpaka Tabata relini pitia bugurunii[emoji28][emoji28][emoji28]siku hiyo mvua ilinyeshaa gari hazisogeii.

Jeshini toka Mgambo jkt mpaka Kabuku pale stand aiseee acha tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]miguu illiuma na kuvimbaa kisenzi kujikuta wajeda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…