Umewahi tembea umbali gani mrefu kwa miguu ndani ya jiji la Dar es Salaam?

1. Shekilango - Magomeni - Posta - salenda bridge - Morocco - Victoria - bamaga - sinza - Shekilango.

2. Aziz ally - Taifa - Keko -karume - kigogo - Magomeni - uzuri Rd - sinza.

3. Ubungo - Shekilango - sinza kijiwen - uzuri Darajan - sinza - mwenge - lugalo - Tangi bovu - Africana - Tegeta. Hapa nikapata lifti mpaka bunju.

4. Kawe beach - kunduchi - ununio - Tegeta.

5. Tz Stage(Namanga, loitoktok, tarakea) - River road(modern coast office) - nyamakima - kamkunji - Gikombaa - Eastland(isilii) - Gikombaa - kamkunji - nyamakima - River road - Tz stage.

6. Banana kwenye kitimoto - majumba sita - Junction ya tabata segerea na majumba sita - tabata segerea.

7. Temeke chang'ombe - Keko - kariakoo - kidongo chekundu - Samora avenue - Posta - ppf tower - salenda bridge - morroco - kinondon - Magomeni kanisan - Tandale - sinza kijiwen - Shekilango

Route zote hzo ni kwenye harakati za kujutafuta
 
K/Koo to Ubungo
 
Mwenge hadi Mchikichini, hapo unapigwa na jua kufukuzia mapindi...
 
Alikuwa anatembea huyo, mimi nilitembea mwendo wa kawaida kabisa km 32 kutoka makete wilayani hadi ikonda kwa masaa 6 kasoro. Ina maana km 42 ningezimaliza kwa masaa 7 au 8 kwa kutembea.
Mkuu hizo kms si mchezooooo ila kwa mtembeaji anatoboa
 
Mkuu hizo kms si mchezooooo ila kwa mtembeaji anatoboa
Kuna rafiki zangu wakati tunasoma shule ya msini, ile likizo ya mwezi wa 6 walishatembea kwa mguu zaidi ya km 70 kutoka sehemu inaitwa Mlangali hadi Ludewa wilayani. Safari walianza jioni saa kumi na moja wakati tunatoka shule na wakafika asubuhi muda wa chai.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hawa ndo wanaume sasa
 
Walikula nauli?
Mkuu hiyo si ya kitoto unatembea mpaka kiatu kinaishia njiani
 
Walikula nauli?
Mkuu hiyo si ya kitoto unatembea mpaka kiatu kinaishia njiani
Hawakula nauli, kipindi hicho mwaka 2004 hakukuwa na mawasiliano ya simu. Sasa ile likizo inabidi uende kwa mzazi au ndugu mjini ili shule ikifungua angalau urudi na chochote kama si kichwani basi mfukoni ili mkifungua shule, uonekane mtu mbele ya wanafunzi wenzako.

Sasa mkifunga shule mtu unakuwa na kimuhemuhe cha kuondoka na hana mia mfukoni, ndio hapo mtu anarisk kukanyaga mguu.
Mfano wakati nasoma wenzangu washajitosa sana kukanyaga mguu mwendo wa masaa 12 kwenda machimbo ya dhahabu au vibarua kwenye mashamba ili shule ikifungua arudi na ada na pesa nyingine ya matumizi.
 
25 km, pugu stesheni - posta
 
Duh acha uvivu mtu kazi hiyo ruti uwa nakimbia kila jumamosi natoka home napaki Coco Beach nakimbia mpk ferry nakurudi kupitia Tanzanite Bridge. Nikitoka hapo naondoka na gari mpk Corner Bar napiga kongoro narudi home Kimara
Hahha haaa mkuu hiyo ni ndogo ila sehemu nyingne tumetembea na kukmbia sanaaa.
Nimeandika ndani ya dar kama mleta uzi alivyo elekeza
 
Tumetoka mbal sanaaa
 
Kuna kipindi nilifulia niliprint from tabata segerea to sinza Kwa vunja bei.

Nashukuru nilisave 500 langu.
Maana niliagizwa jezi ya Simba na mwanang mmoja.
Shukran sana Kwa mwana, niliipata Hela ya mboga geto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…