Umezaje kuzaa watoto wasio na virusi na wewe una UKIMWI??

Ndugu ngoja tu nikusaidie.
Kiufupi hakuna kinga yeyote ya HIV inayofanya kazi kama kutatokea na muingiliano wa damu.(Mchanganyikano wa damu
Wa baina ya mwenye maambukizi na asiye na maambukizi.

Hivyo basi kinga zote za HIV nindhaifu na hazifanyi kazi kwenye mchanganyikano wa damu
OVER
 
Fanya Masahihisho Kwenye Thread Wakati Nawaleta "Doctors Without Borders, "

Kujibu Hilo Swali Lako
 
We unautaaramu wa afya?
 
Na ukikaidi hii coment yangu ipo siku utakuja na kilio.

Pia yote ya yote hakuna kinga ya asilimia 100% kwenye gonjwa lolote lile. Kinga zote zina asilimia. Na hazifiki 90.

Kinga zote anazotengeneza binadamu zinakuwa udhaifu wake mahali. Kuwa makini.
 
Hapo nimekusoma ingawa umeensa nje ya maada
 
Hakuna kinga inayofanya kazi kwa asilimia 100% kwenye gonjwa lolote lile. Kinga zote zina asilimia. Na hazifiki 90.



Kinga zote anazotengeneza binadamu zinakuwa na udhaifu wake mahali. Kuwa makini
Ok hakuna kinga yoyote ya HIV?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…