TuntemekeSanga
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,346
- 862
Tena anyamaze ameleta Corona alafu anataka ubunge, angoje wa kuteuliaa labda
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiandae kukwepa magongo ya subwoofer.Nagombea jimbo la Kongwa maombi yenu wanajamvi
Kwa hiyo?hizo hospitali si zilikuwa zinajengwa chini ya tamisemi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Asante dada Ummy watu wa Tanga wapo nyuma yako
Jibu ni wote, kila mmoja kwa nafasi yake! Kila la Heri Mhe. Ummy Mwalimu, inshallah utarejesha jimbo kwenye himaya ya Chama Cha Mapinduzi..Kwa hiyo huo ujenzi alofanya kazi kubwa ni nani hasa?
1. JPM
2. Ummy
3. Kodi za wananchi.
Unforgetable
Tusiwe vigeugeu tunaoseama hawakufanya lolote ni kwa pesa zao?! Hapana ni kwa pesa za umma kupitia usimamizi na uongozi makini, unaojali matokeo.Hizo hospitali, zahanati na vituo vyaa afya kajenga kwa pesa zake?
Sent using Jamii Forums mobile app
A human being is a multi processor in nature, yaani tunafanya vitu vingi kwa wakati mmoja. Ndiyo maana hata wewe sasa unatoa maoni , huku ukiendelea na familia, kazi zako za kila siku , wosia wa wazee, mambo ya kijamii nk.watu wajinga sana pesa ya walipa kodi au unatoa mfukoni mwako? badala ya kupambana nna corona unawaza ubunge October
Waziri wa Afya katika serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na chama cha Mapinduzi kupitia rais Magufuli ,Ummy Mwalimu wakati akihitimisha kujibu hoja za wabunge wakati wa kupitisha bajeti ya Wizara ya Afya amesema sasa ameiva na ameamua kuachana na ubunge wa viti maalum na sasa anaenda kugombea ubunge Tanga Mjini.
Ummy Mwalimu amesema anaenda kugombea ubunge akiwa kifua mbele baada ya kufanya kazi kubwa ya kujenga hospitali za wilaya na Zahanati kila tarafa nchi nzima .
Mwambieni asijali, kama Jiwe aliweza kumpa viti maalum atashindwaje kumbeba kwa mbeleko...Waziri wa Afya katika serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na chama cha Mapinduzi kupitia rais Magufuli ,Ummy Mwalimu wakati akihitimisha kujibu hoja za wabunge wakati wa kupitisha bajeti ya Wizara ya Afya amesema sasa ameiva na ameamua kuachana na ubunge wa viti maalum na sasa anaenda kugombea ubunge Tanga Mjini.
Ummy Mwalimu amesema anaenda kugombea ubunge akiwa kifua mbele baada ya kufanya kazi kubwa ya kujenga hospitali za wilaya na Zahanati kila tarafa nchi nzima .
Tena anyamaze ameleta Corona alafu anataka ubunge, angoje wa kuteuliaa labda
Sent using Jamii Forums mobile app
Waziri wa Afya katika serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na chama cha Mapinduzi kupitia rais Magufuli ,Ummy Mwalimu wakati akihitimisha kujibu hoja za wabunge wakati wa kupitisha bajeti ya Wizara ya Afya amesema sasa ameiva na ameamua kuachana na ubunge wa viti maalum na sasa anaenda kugombea ubunge Tanga Mjini.
Ummy Mwalimu amesema anaenda kugombea ubunge akiwa kifua mbele baada ya kufanya kazi kubwa ya kujenga hospitali za wilaya na Zahanati kila tarafa nchi nzima .
Waziri wa Afya katika serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na chama cha Mapinduzi kupitia rais Magufuli ,Ummy Mwalimu wakati akihitimisha kujibu hoja za wabunge wakati wa kupitisha bajeti ya Wizara ya Afya amesema sasa ameiva na ameamua kuachana na ubunge wa viti maalum na sasa anaenda kugombea ubunge Tanga Mjini.
Ummy Mwalimu amesema anaenda kugombea ubunge akiwa kifua mbele baada ya kufanya kazi kubwa ya kujenga hospitali za wilaya na Zahanati kila tarafa nchi nzima .
Kwa hiyo huo ujenzi alofanya kazi kubwa ni nani hasa?
1. JPM
2. Ummy
3. Kodi za wananchi.
Mbona kila mtu anavutia upande wake?
Unforgetable