Ummy Mwalimu: Rais Samia amejenga madarasa 3,000 huko nyuma Serikali haikujali kuhusu madarasa na shule

Huko nyuma
 
Acheni ujinga serkali gani ilikarabati shule zote za zamani! Upuuzi hui wa kujingamba mnautoa wapi? Mkapa alijenga shule kibao!
Mwinyi na Kikwete hawakujenga darasa hata moja
 
Hu
Hawa watu ndio waliounda serikali zilizopita leo wanasema serikali haikujali kuhusu madarasa.
Huenda mleta mada kakoleza na chumvi kwa mahaba yake sasa inaonekana ni maneno ya waziri.
Maana kuna watu wana mahaba mpaka wanapitiliza na kusifia uongo.
 
Mkapa is unsung hero.

Hajatokea Rais kama Mkapa nchi hii.Rais aliyeweka misingi ya mifumo mingi inayofanya kazi sasa
Nchi hii maraisi waislam ndio wanaiharibu, si ndio eeh?
 
Huu usemi naona unashika kasi sana sasa sio mzuri kwa kweli.
 
Wakat nikiwa mtot mdogo, ndoto zangu zlkuwa ni kuja kuwa kiongozi mkubwa wa siasa kama vile mbunge[emoji855]

Lakn baada ya kukua na kuona Kumbe nlchokuwa nikikiiot ni wrong and worst thing nkaona ni bora ufe masikin kulko kuwa Mwanasiasa ambaye kila siku anabadiri maneno ya kinywa chake,

Leo anaongea hil, kesho ataongea kile, keshokutwa atasema hivi yaan hakuna msimamo ni FULL maigizo na uongo mwingi kwa wananchi wake[emoji855].

Hakika siasa na shetani ni wamoja
 
Ni hatari sana kwa viongozi kuwa waongo na wanafiki, hizo shule lzimejengwa lini na wapi kwa maana sisi tulioko huku uswekeni bado hatuoni mabadiliko yoyote pamoja na kutoa tozo zetu.Hawa ndio akina tumbo technocrat.
 
Duh! Haya ni maneno ya waziri aliyedumu hata awamu iliyopita?
Hapa kingekuwa ni chama pinzani sijui ungesemaje!
Lakini waziri hawezi kutamka hivi, sio kweli
 
Umenena mkuu!, yaani hawa viumbe Mwenyezi Mungu aliwaondolea mshipa wa kumbukumbu!
 
Samia akiondoka akaja mwingine, hizi sifa zitahamia Kwake! Hawa wanafiki ni kuwa nao macho sana, wao ni kuangalia fursa tu!
Huyu dada huko nyuma alikuwa anachapa kazi sana . alitembelea karibu wilaya na mikoa yote kugagua na kujenga vituo vya afya na kila kukicha alikuwa mikoani kwa wanyonge akiwaandalia mahali pazuri pa kujitibu na kuzalia. what went wrong with mama ummy?
 
Aliye jirani naye hapo amuulize huko nyuma ilikuwa serikali ya chama gani?
 
Wanasiasa wachumia tumbo ni wakuwapuuza kabisa. Huyo mama hakuna anachotetea hapo zaidi ya tumbo.
 
uongozi ni kazi rahisi sana Tanzania... unaweza kuongea lolote na vyovyote na bado ukapata wafuasi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…