Kimpyempye
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 723
- 1,157
Mzuri sana huyu dada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko nyumaHuko nyuma watu hawakujali kuhusu Shule/Vituo Shikizi. Ni Serikali ya Awamu ya 6 ya Rais Samia ndio imechukua hatua mahususi na za haraka za kujenga madarasa ya kisasa 3,000 tena kwa mpigo katika Shule Shikizi 970 kwenye Halmashauri mbalimbali nchini.
Niwahakikishie Watanzania kuwa TAMISEMI tutazifikia shule shikizi zote zinazokidhi vigezo (nyingine zimejengwa kwenye maeneo ya hifadhi au maeneo hatarishi kama karibu kabisa na machimbo ya migodi) na kujenga miundombinu ya kisasa. #KaziIendelee
Mwinyi na Kikwete hawakujenga darasa hata mojaAcheni ujinga serkali gani ilikarabati shule zote za zamani! Upuuzi hui wa kujingamba mnautoa wapi? Mkapa alijenga shule kibao!
Huenda mleta mada kakoleza na chumvi kwa mahaba yake sasa inaonekana ni maneno ya waziri.Hawa watu ndio waliounda serikali zilizopita leo wanasema serikali haikujali kuhusu madarasa.
Nchi hii maraisi waislam ndio wanaiharibu, si ndio eeh?Mkapa is unsung hero.
Hajatokea Rais kama Mkapa nchi hii.Rais aliyeweka misingi ya mifumo mingi inayofanya kazi sasa
Ni hatari sana kwa viongozi kuwa waongo na wanafiki, hizo shule lzimejengwa lini na wapi kwa maana sisi tulioko huku uswekeni bado hatuoni mabadiliko yoyote pamoja na kutoa tozo zetu.Hawa ndio akina tumbo technocrat.Huko nyuma watu hawakujali kuhusu Shule/Vituo Shikizi. Ni Serikali ya Awamu ya 6 ya Rais Samia ndio imechukua hatua mahususi na za haraka za kujenga madarasa ya kisasa 3,000 tena kwa mpigo katika Shule Shikizi 970 kwenye Halmashauri mbalimbali nchini.
Niwahakikishie Watanzania kuwa TAMISEMI tutazifikia shule shikizi zote zinazokidhi vigezo (nyingine zimejengwa kwenye maeneo ya hifadhi au maeneo hatarishi kama karibu kabisa na machimbo ya migodi) na kujenga miundombinu ya kisasa. #KaziIendelee
Duh! Haya ni maneno ya waziri aliyedumu hata awamu iliyopita?Huko nyuma watu hawakujali kuhusu Shule/Vituo Shikizi. Ni Serikali ya Awamu ya 6 ya Rais Samia ndio imechukua hatua mahususi na za haraka za kujenga madarasa ya kisasa 3,000 tena kwa mpigo katika Shule Shikizi 970 kwenye Halmashauri mbalimbali nchini.
Niwahakikishie Watanzania kuwa TAMISEMI tutazifikia shule shikizi zote zinazokidhi vigezo (nyingine zimejengwa kwenye maeneo ya hifadhi au maeneo hatarishi kama karibu kabisa na machimbo ya migodi) na kujenga miundombinu ya kisasa. #KaziIendelee
Umenena mkuu!, yaani hawa viumbe Mwenyezi Mungu aliwaondolea mshipa wa kumbukumbu!Wakat nikiwa mtot mdogo, ndoto zangu zlkuwa ni kuja kuwa kiongozi mkubwa wa siasa kama vile mbunge[emoji855]
Lakn baada ya kukua na kuona Kumbe nlchokuwa nikikiiot ni wrong and worst thing nkaona ni bora ufe masikin kulko kuwa Mwanasiasa ambaye kila siku anabadiri maneno ya kinywa chake,
Leo anaongea hil, kesho ataongea kile, keshokutwa atasema hivi yaan hakuna msimamo ni FULL maigizo na uongo mwingi kwa wananchi wake[emoji855].
Hakika siasa na shetani ni wamojaView attachment 2063218
Huyu dada huko nyuma alikuwa anachapa kazi sana . alitembelea karibu wilaya na mikoa yote kugagua na kujenga vituo vya afya na kila kukicha alikuwa mikoani kwa wanyonge akiwaandalia mahali pazuri pa kujitibu na kuzalia. what went wrong with mama ummy?Samia akiondoka akaja mwingine, hizi sifa zitahamia Kwake! Hawa wanafiki ni kuwa nao macho sana, wao ni kuangalia fursa tu!