Umoja Party ni chama chenye mlengo upi, kinaamini katika maendeleo au katika Magufuli?

Hiki chama inabidi Dr. Slaa awe moja ya viongozi wakuu kabisa.

Nimecheka kwa nguvu, huyo zama damu ndio tegemeo! Yaani karne ya 21 mnaleta kiongozi aliye 70+?!
 
Mboga hukuropoka huu utumbo wako mapema kabla ya Magufuli kufariki ili tujue? TO HELL
 
Sijaona wa kutoa hoja zenye nguvu hapo
 
Vyama vyetu vile.... ha ha ha

Mjini hapa !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…