Umoja party walalamikia kucheleweshewa usajili, kumgongea hodi Rais Samia

Hawa ni CCJ ya mjini hawana jipya
 
Hebu tuondoleeni upuuzi wenu, yani Rais aache kufanya kazi za maana awasikilize genge la wahuni?

Kajiungeni na UDP ya cheo ndio chama cha wasukuma.
UDP Mapendo kingekuwa ni chama cha wasukuma, basi kingekuwa ni cha pili kwa ukubwa baada ya CCM. Acha kuwafundisha wasukuma akili ambayo hawana kwa sababu siku ikitokea wakawa na akili ya namna hiyo, wanaweza kusumbua kwa kiasi kikubwa sana. Neither sukuma gang was pioneered by sukumas; bali walikuwa wanachafuliwa
 
Wasituhamishe kwenye HOJA kuu ya kudai KATIBA mpya. Wakinyimwa Usajili wahamie hata chama Cha Mh Rungwe watatoboa kama Kweli Wana mtaji wa watu Kutoka chama Dola😄
 
Waachie mbwembwe,wapambanie hapo hapo Kwa Mutungi,wasijione special saana,kutafuta huruma.
 
Chama Cha kikabila hiko hamna kuwapa usajili mbwa hao
 
Mwenyekiti wa Chama Dk Slaa
 
Hii nchi shida sana kila kitu kwa hisani Rais, katiba mpya ije ituondolee huu upuuzi
 
Rais ndio anayetoa usajili?
 
Na maendeleo wanawazidi. Aisee
 
Hebu tuondoleeni upuuzi wenu, yani Rais aache kufanya kazi za maana awasikilize genge la wahuni?

Kajiungeni na UDP ya cheo ndio chama cha wasukuma.
Hebu acha hayo mambo ya ukabila. Watu wanataka kuanzisha chama unawaita 'genge la wahuni'! Kama kuna sababu kwa nini wasianzishe chama, waambiwe hizo sababu kuliko kukaa kimya mwaka mzima. Kama chama chako kingekataliwa kuandikishwa, si ungekuja juu na kusema hakuna demokrasia nchini?

Halafu huo ushamba unaoleta wa ukabila hauna nafasi katika jumuia ya Kitanzania. Kwani wewe usiye Msukuma ulitaka kujiunga na UDP, Cheyo akakukatalia na kukuambia hiko ni chama cha Wasukuma tu? Hapo hapo wengine wakisema CHADEMA ni chama cha Wachaga mnanuna na kuanza kuwakosoa watoa hoja. Hizo ndiyo kazi anazopaswa Rais kuzifanya kwa kuingilia kati ili ajue kulikoni.

Rais hana budi kuona kwamba Mtanzania ana uhuru wa kufanya atakalo mradi tu havunji sheria. Mmoja wa wavunja sheria ni wewe unayeleta ukabila.
 
Yaani mnasema hicho chama kitakuwa tishio kwa Rais (CCM) huku mkibaniwa kusajiliwa mnaenda tena kulia kwa huyo
Rais?
 
...Mwaka Mmoja??...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…