Umoja party walalamikia kucheleweshewa usajili, kumgongea hodi Rais Samia

Umoja party walalamikia kucheleweshewa usajili, kumgongea hodi Rais Samia

Umoja party ni Chama cha Kingese tu mambo yote ni Chadema.
 
Sasa kwa Tanzania hii watu hawapigi kura kikanda, na ni hatari na ujinga wa hali ya juu sana kwa mwanasiasa yoyote kuhimiza watu wapige kura kikanda kwa kauli kama hizi
Afadhali kuongozwa kidikteta kuliko kuwa na demokrasia ya kikabila
Theme ya kinachoongelewa hapa hujaielewa. Kinachoongelewa hapa siyo hali halisi bali ni imaginations. No one has ever done such a thing. Neither is there one with a thought of doing it!

Unajua ni kwa sababu gani? Lugha ya Kiswahili tuliyonayo ndiyo imetuunganisha katika namna ambayo mtu hawezi ku-imagine. Tungekuwa hatuna lugha mama ya kutumia, tungekuwa tunaishi kama maadui. Lugha huwa ni kiunganishi kikubwa sana

Chukulia kwa mfano, uende sehemu yoyote ile mbali ukute watu wanaongea lugha yao ya kienyeji huko ambayo na wewe tuseme kwa bahati nzuri tu unaijua, ila siyo lugha yako ya siku zote. Halafu wakati huo huo katika jamii hiyo, apatikane mtu mmoja kati ya wenyeji wako hao, ambaye yeye anajua kuongea lugha yako wewe, ile lugha yako ya siku zote. Kitakachotokea hapo ni kwamba uwezekano mkubwa ni kwamba utakuwa karibu zaidi na huyu mwingine mmoja ambaye anajua kuongea lugha yako kwa sababu unaweza kuwasiliana naye na kumuona kama mwenzako. Kwa mfano diasporas wanaoongea Kiswahili huwa wanakuwa wako karibu sana na Watanzania. Wakati mwingine huwa inakuwa ni ngumu kumtofautisha Mkenya na Mtanzania labda utumie lafudhi za Kiswahili chao wanavyoongea. Kwa walioko nje, diaporas Wakenya wanaoongea Kiswahili huwa wako karibu zaidi na Watanzania
 
Back
Top Bottom