Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Magufuli mbona alikuwa mkorofi vile, halafu alikuwa akichagiza Wasukuma kuwajaza sentiments za kikabila ili wawe wanatumia wingi wao kama leverage ya kisiasa.UDP Mapendo kingekuwa ni chama cha wasukuma, basi kingekuwa ni cha pili kwa ukubwa baada ya CCM. Acha kuwafundisha wasukuma akili ambayo hawana kwa sababu siku ikitokea wakawa na akili ya namna hiyo, wanaweza kusumbua kwa kiasi kikubwa sana. Neither sukuma gang was pioneered by sukumas; bali walikuwa wanachafuliwa
Nakumbuka Pinda alivyokuwa Mwanza na Magufuli na kumtaka aongeze muda wa kukaa madarakani na kusema kanda ya ziwa kwa wingi wao ndio wanaamua Rais awe nani