Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Magufuli mbona alikuwa mkorofi vile, halafu alikuwa akichagiza Wasukuma kuwajaza sentiments za kikabila ili wawe wanatumia wingi wao kama leverage ya kisiasa.UDP Mapendo kingekuwa ni chama cha wasukuma, basi kingekuwa ni cha pili kwa ukubwa baada ya CCM. Acha kuwafundisha wasukuma akili ambayo hawana kwa sababu siku ikitokea wakawa na akili ya namna hiyo, wanaweza kusumbua kwa kiasi kikubwa sana. Neither sukuma gang was pioneered by sukumas; bali walikuwa wanachafuliwa
Unaposema ninyi unamaanisha watu gani? Maana sijaji identify na kundi loloteNyinyi kwa nini mnaenda kwa Rais kudai katiba mpya wakati mnajua hilo siyo suala la kipaumbele kwake hivi sasa?
Katiba ya Tanzania inachekesha sanaChama cha Umoja Party kiliomba usajili wa muda tangu April 2021 na kimeona kuna dalili za kukwamishwa licha ya kufuata taratibu zote ikiwemo kujibu mapingamizi juu ya rangi ya bendera na muonekano wa nembo hivyo kimepanga kwenda kumuona Rais Samia ili kupata haki ya usajili katika ofisi ya msajili wa vyama vya siasa.
Upande wake, naibu msajili wa vyama vya siasa, Sisty Nyahoza amesema maombi ya chama hicho yanashughulikiwa na kuwataka wahusika watulie kwani usajili una taratibu zake ambapo huwezi kuomba leo, kesho ukapata.
CHAMA CHENYE MLENGO WA KUWAUWA WANANCHI KIMYAKIMYA NA KUWAFUNGA KWENYE VIROBAHICHO CHAMA CHA UMOJA NI CHA KUKIFUTA KABLA HAKIJASAJILIWA HAKIFAI KABISA KINA MRENGO WA RIVALS YAANI NI CHAMA CHA VISASI NA VINYONGO,KILICHOANZISHWA NA WATU WENYE HUSDA,KISIPATIWE USAJILI HATA KIDOGO.
Watatusajili tu. Hatuna haraka..Chama cha Umoja Party kiliomba usajili wa muda tangu April 2021 na kimeona kuna dalili za kukwamishwa licha ya kufuata taratibu zote ikiwemo kujibu mapingamizi juu ya rangi ya bendera na muonekano wa nembo hivyo kimepanga kwenda kumuona Rais Samia ili kupata haki ya usajili katika ofisi ya msajili wa vyama vya siasa.
Upande wake, naibu msajili wa vyama vya siasa, Sisty Nyahoza amesema maombi ya chama hicho yanashughulikiwa na kuwataka wahusika watulie kwani usajili una taratibu zake ambapo huwezi kuomba leo, kesho ukapata.
Hata miye nahisi hivyoHahahah..
Hii ni "move" yenye akili Kweli Kweli kutoka "Lumumba"..
A very clever strategy to kill the stubborn and influential "Ufipa"
Hakuna utaratibu huo hao Umoja Party wamejichanganya wenyewe na inaonesha jinsi weledi wao ulivyo mdogo kwenye siasa!Kuna taratibu zinajichanganya zenyewe.
Yani chama fulani kinaenda kwa mwenyekiti wa chama kingine (ccm) kumuomba amshurutishe msajili wa vyama kuharakisha usajili wao!
Hahahah..
Hii ni "move" yenye akili Kweli Kweli kutoka "Lumumba"..
A very clever strategy to kill the stubborn and influential "Ufipa"
Hawatasajiliwa
Wanajua jinsi kitakavyoleta ushindani kwa mafisadi
Hawa wapuuzi kama wapo serious kui challenge CCM wangejiunga kudai Katiba ambayo ingepunguza nguvu za Serikali (CCM) juu ya kuvibana vyama
Sasa hapo wanamlilia Rais wakati huyo Rais ndio anampa maelekezo huyo msajili awabanie....akili ni kitu adimu sana
Unapgopa nini mkuu, ile Nembo siyo?Hebu tuondoleeni upuuzi wenu, yani Rais aache kufanya kazi za maana awasikilize genge la wahuni?
Kajiungeni na UDP ya cheo ndio chama cha wasukuma.
Ukishamtaja Hayati Magufuli; mimi siwezi kuongea kitu kwa sababu nayajua mengi mno yaliyokuwa yakifanyika kama hujuma kwake ukiwemo utekaji pamoja na kuasisiwa kwa Sukuma GangMagufuli mbona alikuwa mkorofi vile, halafu alikuwa akichagiza Wasukuma kuwajaza sentiments za kikabila ili wawe wanatumia wingi wao kama leverage ya kisiasa.
Nakumbuka Pinda alivyokuwa Mwanza na Magufuli na kumtaka aongeze muda wa kukaa madarakani na kusema kanda ya ziwa kwa wingi wao ndio wanaamua Rais awe nani
Ndio uzuri wa Katiba Bora.....hapo Ndio ujue Beuracracy Kenya ipo vizuri,Wanasiasa wakikkanyagana lakini Serikali ipo imara,tofauti kabisa na hapa kwetu Chama kimeshika hatamu na utamu!Kenya kampeni zinanza Miaka miwili kabla ya uchaguzi walianza mwezi wa nane 2020 uchaguzi mwezi wa nane 2022
Yaani hakuna kinachofanyika Miaka miwili ni kelele tu za uchaguzi na mikutano ya siasa viongozi hawafanyi kazi kuanzia Raisi na makamu na mawaziri na wabunge!
Unapiga kampeni hadi kufilisika kabla ya uchaguzi
Kwa hili Kenya Hawako vizuri. Watu hawataki kwenye viti kufanya kazi wakati mshahara na miposho wanalipwa na Serikali
... wangeweka japo picha ya Mwl. Nyerere angalau kwa mbali wangeeleweka. Ila kutumia picha ya jamaa wameonesha ni kwa kiwango gani hawana akili.Wamejinajisi wao wenyewe kwa kuweka mtu ambaye ni muuaji na fisadi
Hicho chama wana akili kweli?Chama cha Umoja Party kiliomba usajili wa muda tangu April 2021 na kimeona kuna dalili za kukwamishwa licha ya kufuata taratibu zote ikiwemo kujibu mapingamizi juu ya rangi ya bendera na muonekano wa nembo hivyo kimepanga kwenda kumuona Rais Samia ili kupata haki ya usajili katika ofisi ya msajili wa vyama vya siasa.
Upande wake, naibu msajili wa vyama vya siasa, Sisty Nyahoza amesema maombi ya chama hicho yanashughulikiwa na kuwataka wahusika watulie kwani usajili una taratibu zake ambapo huwezi kuomba leo, kesho ukapata.
Watasajiliwa, kwani ni CCM wenyewe kwa wenyewe wanawatafuta wasioridhika ili wawarishishe au wawatimue kwanye Chama. Wale watakafuata mkumbo watajuta na wale ambao wako kwenye mpango huo watapeta badaeHawatasajiliwa ili ccm ibaki kuwa na nguvu
Serikali imara wapi ? Raisi au makamu wakienda popote wanaenda kwa gharama za Serikali kuanzia ulinzi, magari wasaidizi nk sababu hawawezi kwenda kama raia wa kawaida huo ufujaji wa pesa za ummaNdio uzuri wa Katiba Bora.....hapo Ndio ujue Beuracracy Kenya ipo vizuri,Wanasiasa wakikkanyagana lakini Serikali ipo imara,tofauti kabisa na hapa kwetu Chama kimeshika hatamu na utamu!
Serikali imara wapi ? Raisi au makamu wakienda popote wanaenda kwa gharama za Serikali kuanzia ulinzi, magari wasaidizi nk sababu hawawezi kwenda kama raia wa kawaida huo ufujaji wa pesa za umma
Miaka miwili mtu anasafiri Misafara ya Raisi au makamu msafara wanakula perdiem za Serikali kampeni za kisiasa za wazi ndio unasema katiba Bora ? Pesa ya walipa kodi inateketea Miaka miwili kwa kampeni za kisiasa akili kichwani zimo wewe?
Sasa kwa Tanzania hii watu hawapigi kura kikanda, na ni hatari na ujinga wa hali ya juu sana kwa mwanasiasa yoyote kuhimiza watu wapige kura kikanda kwa kauli kama hiziUkishamtaja Hayati Magufuli; mimi siwezi kuongea kitu kwa sababu nayajua mengi mno yaliyokuwa yakifanyika kama hujuma kwake ukiwemo utekaji pamoja na kuasisiwa kwa Sukuma Gang
Still kutokana na statistics zinazosemekana kuwepo, ni kwamba mgombea yeyote akikosa kura kwenye mikoa mingine yote Tanzania isipokuwa akafanikiwa tena kupata zote kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa, the chances kwamba anaweza kushinda ni kubwa.
Kanda ya Ziwa siyo Mwanza bali ni muunganiko wa mikoa ya Mara, Kagera, Mwanza, Geita, Simiyu, Shinyanga na Tabora, kama sikosei