Umoja wa Israel na Marekani uko sawa na ule wa Ujerumani na Austria 1914

Ingekua poa km ungegusia kuhusu huo mtazamo wa Nkrumah walau kwa uchache
 
Bado kuna mtu anabisha kwamba Israeli itamponza Marekani kama Austria ilivyomponza Ujerumani ???
​
 
Binafsi ili andiko nimeliona leo lakini ngoja nitafakari juu ya One state solution.

1. Kuna Wapalestina takribani milion 6 ambao ni wakimbuzi nje ya Palestina! Hawa walinyang'anywa makazi yao na Waisrael huko Westbank nk! Vipi kwakuwa ni walimbizi mkiunda Taifa moja mtaruhusu warudi? Ukumbuke ndani ya Palestina kwenyewe kwasasa ina wapalestina Milion 7 so Wapalestina jumla watakuwa milion 13 na bado kwenye kuzaliana waarabu wako vizuri! Umewaza wayahudi hawaoni hatari ya kuja kufukuzwa mbeleni huko maana hii population itatoa viongozi karibu sehemu zote
 
Kwa mtazamo huo visiwa vya unguja na pemba vingekuwa vimeshajaa watu kwa sabab jamaa wapo vizur kwenye kuzaliana na wazanzibar wangekuwa vinara wa deep state ya tanganyika
 
... what a good time to be alive! ... THAT'S WHAT YOU SAY?
MAY GOD GRANT YOUR LOCATION THE STATUS OF THE WAR FRONT!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…