Umoja wa Mataifa: Afrika itakumbwa na uhaba wa ngano kutokana na vita vya Urusi na Ukraine

Umoja wa Mataifa: Afrika itakumbwa na uhaba wa ngano kutokana na vita vya Urusi na Ukraine

Inshaallah, ujiandae kuja kuchukua za kuungia futari ndugu yangu.
Asante nami nina kashamba kangu ka minazi na nimelima mihogo navuta subra mwenzi wa nne niuze inshallah ukaribie kutafuna mihogo mibichi na Nazi mkuu.
 
Asante nami nina kashamba kangu ka minazi na nimelima mihogo navuta subra mwenzi wa nne niuze inshallah ukaribie kutafuna mihogo mibichi na Nazi mkuu.
Inshaallah, nitajongea mkuu.

Ila si wanasema mihogo mibichi na nazi inaongeza naniliuu.. humuonei huruma wifi yako wewe!!?[emoji16][emoji3]
 
Aache propaganda aisee,hiyo njaa ni ya kwao huko huko,wacha wapgwe tu .waafrika tunalima mahindi kwa wingi tu,hatuhitaji ngano yao
Si mpaka Mungu akuruhumie anyeshe mvua. Mvua ikikata miaka 3 tu ndo utajua hujui
 
Kuna nchi baadhi tu ndio wanakula ngano na mapiko yake kwa namna tofauti
Ila wengi ni fufu na ugali tu

Halafu Hawa UN wanapenda sana kutuponda mbwa hawa
Hapa PM wa [emoji636] kaenda Saudia kuwaomba waongeze uzalishaji

Huko kwa Biden nako wanaanza kujipendekeza kwa Maduro Venezuela huko wakati walimuua na Chavez na kuiwekea vikwazo

Hawa wanaojifanya matajiri wakubwa sasa wanahaha leo diesel £1.72 kwa lita na itafika £2 baada ya miezi kadhaa hiyo ni Sh 6000

Watuache hatufi njaa ila wao ndio wataisoma
Ulaya wengi wanategemea chakula kutoka nje sasa nani ataumia zaidi
 
Nguruwe nyie Ila sio sisi maana ngano haisabishi tuishi kwanza hivi ni kwanini Kila kitu mnatuona sisi Kama hamnazo inamaana mmeona sisi hatuwezi kuishi bila nyie
Hiyo ndio UN, bila africa na man- caused conflicts hakuna UN wala watoto wake mkuu. Kitendo cha kutaja Afrika maana yake tention ya misaada ndio ipo mezani watu wapige maisha yaendelee
 
Umejenga mfumo wa kuwasambazia watanzania(supply chain) mihogo na viazi vitamu kila siku mahali popote nchini ? Hujui haya ni mazao ya msimu na kuhifadhi shida ukilinganisha na nafaka? Mwehu mkuu mmoja.
Mihogo sio zao la msimu
 
Mingano ya nini??wao ndo chakula yai kuu mimi naweza kaaa mwezi sjala miproduct ya ngano so haina impact kwangu moth###***fker
 

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ameonya kwamba vita vya Urusi dhidi ya Ukraine vinaweza kusababisha kile alichokiita "kimbunga cha njaa" na uhaba wa chakula kote duniani.

Alisema nchi nyingi za Afrika na maskini zinategemea zaidi uzalishaji wa ngano wa Urusi na Ukraine, ambayo sasa iko hatarini kutokana na mzozo huo.

Hii ni pamoja na Burkina Faso, Somalia na Yemen ambazo tayari zinahangaika kulisha watu wao.

Bw. Guterres ametoa wito wa kusitishwa kwa vita hivyo mara moja ili kuepuka kuharibika kwa mifumo ya chakula duniani.

Pia alitangaza kifurushi cha $40m (£31m) kusaidia mamilioni ya Waukraine wanaokabiliwa na njaa na kupungua kwa usambazaji wa maji na dawa.

BBC Swahili
Tutakula ugali,
 
Back
Top Bottom