makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Inshaallah, ujiandae kuja kuchukua za kuungia futari ndugu yangu.Duh mkuu unaikosa pesa simamia zikomae vizuri mwenzi wa nne Ramadhani panapo majaliwa unauza kwa bei nzurii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inshaallah, ujiandae kuja kuchukua za kuungia futari ndugu yangu.Duh mkuu unaikosa pesa simamia zikomae vizuri mwenzi wa nne Ramadhani panapo majaliwa unauza kwa bei nzurii
Asante nami nina kashamba kangu ka minazi na nimelima mihogo navuta subra mwenzi wa nne niuze inshallah ukaribie kutafuna mihogo mibichi na Nazi mkuu.Inshaallah, ujiandae kuja kuchukua za kuungia futari ndugu yangu.
Inshaallah, nitajongea mkuu.Asante nami nina kashamba kangu ka minazi na nimelima mihogo navuta subra mwenzi wa nne niuze inshallah ukaribie kutafuna mihogo mibichi na Nazi mkuu.
Nani katukatalia kuazisha na mito mikubwa tunayo mfano mbeya ngano inalimwa lakini si kwamsisitizo au serikali iingize nguvu katika uzalishaHatuna kilimo cha umwagiliaji na large scale farming
😂😂Inshaallah, nitajongea mkuu.
Ila si wanasema mihogo mibichi na nazi inaongeza naniliuu.. humuonei huruma wifi yako wewe!!?[emoji16][emoji3]
Lazima wahuni waliu collapse mradiMradi wa ngano hanang unaendelea vipi?
Mwambie Kama Visio na mihogo Shida kupatikana sababu ya uhifadhi kuna Michembe na MatobolwaMbona umezungumzia viwili tu wakati mimi nimezungumzia zaidi ya vitu viwili?
Akili ndogo Uzia Mkuu
TBL ijiandae kufilisikaNgano labda itakuwa tatizo kwa Afrika kaskazini huko lakini pengine siyo issue sana maana ngano siyo chakula kikuu vipo vingine
Kwa hiyo Bwana Katibu Mkuu hiyo ngano pambaneni nayo huko
Si mpaka Mungu akuruhumie anyeshe mvua. Mvua ikikata miaka 3 tu ndo utajua hujuiAache propaganda aisee,hiyo njaa ni ya kwao huko huko,wacha wapgwe tu .waafrika tunalima mahindi kwa wingi tu,hatuhitaji ngano yao
Pumbavu hao jamaaAnataka UN ipewe pesa za misaada ya kuleta chakula Afrika, halafu mwisho wa siku wanazipiga zote, wanaleta 1% tu ya walichochangiwa, ni uhuni tu
Hiyo ndio UN, bila africa na man- caused conflicts hakuna UN wala watoto wake mkuu. Kitendo cha kutaja Afrika maana yake tention ya misaada ndio ipo mezani watu wapige maisha yaendeleeNguruwe nyie Ila sio sisi maana ngano haisabishi tuishi kwanza hivi ni kwanini Kila kitu mnatuona sisi Kama hamnazo inamaana mmeona sisi hatuwezi kuishi bila nyie
We utakua mzunguHii ni sahihi kabisa. Waafrika wapumbavu wameshindwa kujitegemea kwa chakula. Ajabu mababu zao walikuwa na chakula cha kutosha!
Mihogo sio zao la msimuUmejenga mfumo wa kuwasambazia watanzania(supply chain) mihogo na viazi vitamu kila siku mahali popote nchini ? Hujui haya ni mazao ya msimu na kuhifadhi shida ukilinganisha na nafaka? Mwehu mkuu mmoja.
Tutakula ugali,
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ameonya kwamba vita vya Urusi dhidi ya Ukraine vinaweza kusababisha kile alichokiita "kimbunga cha njaa" na uhaba wa chakula kote duniani.
Alisema nchi nyingi za Afrika na maskini zinategemea zaidi uzalishaji wa ngano wa Urusi na Ukraine, ambayo sasa iko hatarini kutokana na mzozo huo.
Hii ni pamoja na Burkina Faso, Somalia na Yemen ambazo tayari zinahangaika kulisha watu wao.
Bw. Guterres ametoa wito wa kusitishwa kwa vita hivyo mara moja ili kuepuka kuharibika kwa mifumo ya chakula duniani.
Pia alitangaza kifurushi cha $40m (£31m) kusaidia mamilioni ya Waukraine wanaokabiliwa na njaa na kupungua kwa usambazaji wa maji na dawa.
BBC Swahili