SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Mfuateni basi msitupigie kelele.nkurunzinza wa burundi kafia madarakani bt hatukuona akiombolezwa na UN wala bendera ya UN kupepea nusu mlingoti, magufuli ni rais bora wa africa kwa karne hii hata kama wapuuzi fulani hamtaki kusikia habari hizi.