eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Bwana mdogo eliakeem utazeeka haraka kama kila kitu unakichunguza hiki uongo hiki kweli. Utakufa upesi kama kila kitu unakichukulia serious. Hii topic mbovu tu hii,unakomaa nayo
Bwana mdogo
aha haaa
š¤£š¤£š¤£
Wewe ni mchanga sana kwenye jukwaa hili. Miaka 10 iliyopita when JF was real JF, tulikuwa haturuhusu uongo na uzushi. By then, watu walikuwa wanafanya research kweli kweli (kama unavyosema nakomaa). Huwezi kueleza kitu hapa bila ku cite authority. Kila mtu alikuwa atoa evidence based facts. Lkn siku hizi, kila mmoja anatoa maneno tu, bila hata ushahidi wowote.