Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Labda dunia ya walozi kule malawiMagufuli ameitangaza sana Tanzania huyu mwamba, dunia nzima inamtambua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda dunia ya walozi kule malawiMagufuli ameitangaza sana Tanzania huyu mwamba, dunia nzima inamtambua
Hakuwemo kwenye umoja wa mataifaNi lini walimwomboleza Saddam Hussein?
Wewe huwaga ni zero, nadhani ulishuhudia maelfu waliomzika, unashuhudia UN kumtambua, utashuhudia mengi sana. Sasa Hamishia kisirani chako kwa kagame, sababu utakuwa unapambana mfu, chuma kitakachoheshimiwa, milele, ukiwa na kumbukumbu kwamba chuma kiliongoza kwa span ya 5 yrs only...hapana.
..Tanzania ni kubwa kuliko Magufuli. Tanzania ndio imemtangaza Magufuli.
..hao mabalozi wanaoomboleza wanafanya hivyo kwasababu wanaiheshimu Tanzania, na wanapenda kuwa na mahusiano nayo mazuri.
..vijana mnatakiwa mfunguliwe darasa la diplomasia na mahusiano ya kimataifa.
cc MALCOM LUMUMBA
Huyo walimuua wao wenyeweNi lini walimwomboleza Saddam Hussein?
muombeeni mwenzenu apone hali aliyonayo ni mbayaWe shangazi kumbe unajua kuimba taarabu na kunengua namna hii?
Sio kila nchi ipo kwenye hiyo jumuia ya umoja wa mataifa. Hizo nchi ujue hazikuwemo umoja wa mataifa
Wewe huwaga ni zero, nadhani ulishuhudia maelfu waliomzika, unashuhudia UN kumtambua, utashuhudia mengi sana. Sasa Hamishia kisirani chako kwa kagame, sababu utakuwa unapambana mfu, chuma kitakachoheshimiwa, milele, ukiwa na kumbukumbu kwamba chuma kiliongoza kwa span ya 5 yrs only.
Salama Wana Mapinduzi wa JF?
Ndugu zangu huko Duniani kwa sasa ni Viongozi wa Dunia wanavyomuenzi Mpendwa Wetu Hayati John Pombe Joseph Magufuli kwa kuelezea Uimara na Misimamo Yake thabiti katika Kuunganisha Taifa Letu na Mapinduzi Makubwa ya kiuchumi.
Link hii hapa chini karibu tufatilie uchambuzi yakinifu unaofanywa kumhusu Mpendwa Wetu JPM.
[emoji116]
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa maarufu kama Baraza la 75 kukamilisha mkutano wake maalum uliolenga kumkumbuka na kumuenzi Rais wa awamu ya tano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli aliyefariki dunia Machi 17 na kuzikwa Machi 26.
Baraza hilo limechukua hatua hiyo kutambua mchango wa Dkt. Magufuli aliyekuwa kiongozi wa nchi mwanachama miongoni mwa nchi 193 wanachama wa Baraza hilo la Umoja wa Mataifa.
Rais wa Baraza, Katibu mkuu na wenyeviti wa makundi matano yanayounda Baraza ambayo ni Afrika, Asia na Pasific, Ulaya Mashariki, Ulaya Mshariki, Amerika ya Kusini na Karibea kushiriki mkutano huo akiwemo mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa (UN) Balozi Prof. Kennedy Gastorn jijini New York, Marekani.
Akihutubia mkutano katika kumuenzi Hayati Magufuli, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Gutteres amesema, katika kumkumbuka kiongozi, UN itaenzi jitihada zake za kusimamia upatikanaji wa huduma za kijamii na mapambano dhidi ya rushwa.
Ameongeza kuwa aliyekuwa rais hayati Magufuli alijijengea umaarufu katika maendeleo ya miundombinu na viwanda ambayo ni dhana muhimu katika kukuza uchumi sambamba na kufanikisha nchi yake kuingia kwenye nchi zenye uchumi wa kati kabla ya kipindi cha makisio cha mwaka 2025.
Aidha akiendelea kutoa sifa za kiongozi huyo aliyedumu kwa miaka mitano na miezi michache madarakani, Guterres amesema, hayati Magufuli aliwezesha kuongeza idadi ya wanafunzi wapya kujiunga na shule za sekondari sambamba na kuboresha uwezo wa upatikanaji wa nishati ya umeme nchi nzima.
"Kwa niaba ya Umoja wa Mataifa, kwa mara nyingine tena ninapenda kutoa pole kwa familia ya Rais, Serikali na Watanzania kwa jumla. Tunatambua historia ya ushirikiano uliotolewa kimataifa na kikanda, na ninachukua nafasi hii kusisitiza na kurudia tena kusema Umoja wa Mataifa tutaendelea kufanya kazi kwa karibu na Rais wa sasa Samia Suluhu Hassan na tunasimama na wananchi wa Tanzania katika kuendeleza na kusaidia mafanikio ya kimaendeleo kwa Watanzania wote.
Kuna nyingne zinakuja tena nimelipa cash!!!Wanasikitika, Bombardier Inc wamepoteza mteja mwaminifu.
Utajuaje ilhali wakati huo ulikuwa kwenu unalala banda moja na mifugo?Ni lini walimwomboleza Saddam Hussein?
Kabisa mkuuHebu tumfufue halafu tumuue kwa maumivu zaidi
Hakuwemo kwenye umoja wa mataifa
Anaongea anasoma..naona muwakilishi wa Tz haongei kiswahili.
..magufuli alisisitiza tuitangaze lugha yetu adhimu ya kiswahili.
Kumbe mabeberu mnawafatilia sana?
Alafu kuna wajinga watatu Assad. Lema na Lisu wanatokwa povu kutuaminisha kwamba Magufuli alikuwa zero tu.
Haya sasa hata mabeberu yanayowalea Ulaya yamewakana sasa, yamesema rais Magufuli alikuwa kiongozi mwenye maono na mwenye mapenzi ya kweli na nchi yake.
Bwana mdogo eliakeem utazeeka haraka kama kila kitu unakichunguza hiki uongo hiki kweli. Utakufa upesi kama kila kitu unakichukulia serious. Hii topic mbovu tu hii,unakomaa nayoBwana mdogo kutuongopea hapa JF ni serious offence.
Wewe unasema Iraq siyo member wa UN wakati ni one of founding members.
Fyi only two countries are not members of UN. i.e. Vatican City and Palestine.
Leta ushahidi na sio uongo uliozoea..kila raisi anayefariki huombolezwa na umoja wa mataifa / un.
..na hotuba nzuri-nzuri hutolewa ktk kumuomboleza.
..miaka yote alipokuwa raisi magufuli hakuwahi kuhudhuria vikao vya UN.
Alafu kuna wajinga watatu Assad. Lema na Lisu wanatokwa povu kutuaminisha kwamba Magufuli alikuwa zero tu.
Haya sasa hata mabeberu yanayowalea Ulaya yamewakana sasa, yamesema rais Magufuli alikuwa kiongozi mwenye maono na mwenye mapenzi ya kweli na nchi yake.