Kwa hiyo wao wanamjua zaidi ya sisi wadanganyika wanyonge tuliopatwa na madhira ya utawala dhalimu chini ya malaika mkuu...
 
Hii ni kumbukumbu ya kawaida ya UN pindi kiongozi wa nchi mwanachama anapofariki. Hapakuwa na sifa za maana kwa magufuli isipokuwa tu lugha ya kawaida ya staha kwa wafiwa.
Hivi umesikiliza na kuelewa walichoongea kwenye hicho kikao au unapanua mdomo tu.
 
ukumbi umejaa has a,namuona rais Biden,Putin na Kiduku wa Korea na wrote wamevaa T-shirt za picha ya mwendazake

mbunge Msukuma na Silinde naona wanatuwakilisha...Deo Sanga anasinzia ukumbini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2223]
 
Wewe ni fala kabisa na sijui kama unajielewa. Unasema haina maana kumzungumzia marehemu halafu unachangia uzi unaomzungumzia marehemu. PUMBAVU WEWE, FAMILIA YAKO NA UKOO WAKO WOTE!!!
Naunga mkono kuwa jamaa kweli hazimtoshi.
Eti anakataa kumzungumzia marehemu halafu anachangia.
 
Meko ni kiboko ya mibavicha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…