Umoja wa Mataifa (UN): Kumbukumbu ya Hayati Dkt. John Magufuli
Kweli wewe unafikiri alitenda mema wakati ameacha wengi waliotekwa na kupotea na wengine kuuwawa? Ninyi hata Hitler ni shujaa wenu.

fi Alice

Mkuu hata wewe huna uthibitisho juu ya hayo. Lakini Mjumbe hauwawi mimi nimeleta taarifa tu
 
Dah, wabongo mlikua hamumpendi, yaani kuna watu walikua wanaomba asepe wapumue [emoji23][emoji23][emoji119], na angeendelea miaka miwili tu kuna watu wangehama nchi [emoji28]
 
Alipewa mpako wa mwisho na Cardinal...
Ticket ya heaven kwa imani yake ya RC.

Wengi hatutafika kutokana na chuki
[emoji1787]
Padre alienda akakuta mzoga tayari, hakumkuta meko.
Meko kaikosa mbingu hivi hivi yani, kafika tu jehanamu wale jamaa waliokuwa wanaungua kwenye tanuru wakaanza kumuita "kiongozi" "kiongozi"
 
Dah, wabongo mlikua hamumpendi, yaani kuna watu walikua wanaomba asepe wapumue [emoji23][emoji23][emoji119], na angeendelea miaka miwili tu kuna watu wangehama nchi [emoji28]
Ah wapi... utakuwa mgeni wa dunia wewe...

Hizi ni multiple IDs zilizotengenezwa mahususi kwa ajili ya kutengeneza chuki dhidi ya Hayati Magufuli.

Ni IDs za kimkakati.

Wengine nao wanafuata bendera tu.
 
Sasa cha ajabu hapo ni nini?Ushamba mwingine ni mzigo wa kuonewa kinyaa kama 💩 :NI HIVI,JAMBO HILO NI LA KAWAIDA MNO NA HUFANYWA KWA KILA RAIS ANAYEFIA MADARAKANI.

Bila shaka hata Mfalme Huihui wa Wagagagigikoko naye alipewa hiyo tribute na UN ya wakati huo.

kweli ushamba ni mzigo umethibitisha, gadafi alifia madarakani na miaka yote 5 walikua wanakwepa mada ya gadafi mpaka ikabidi putin aianzishe upya, au ulikua unategemea lissu ndo atajwe?
 
Basi huo ukiboko auendeleze huko kuzimu aliko,mbele ya mungu wake Lucifer.

tatizo lenu nyie mabinti wa mbowe hua mna mdomo sana alafu mnachoongea mkiambiwa mtoe ushahidi hua hamuwezi kumaliza maneno, wiki kma moja imepita ivi mwenzenu uku mtaani alibaki mwenyewe anamsfia lissu, hivi nnavoongea apa mpaka saaahv alipigwa shaba ya bega na kuna uwezekano yupo on life support maaana hakuna mtu anaruhusiwa kwenda kumuona hospital
 
We shangazi kumbe unajua kuimba taarabu na kunengua namna hii?
 
Back
Top Bottom