stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
- Binadamu hua tunaitwa SELF DESTRUCTIVE specie, maana yake ni viumbe wenye uwezo wa kujimaliza wenyewe ukilinganisha na viumbe wengine wote basi binadam tuna sifa hizo, kila nkiwaza vita ya kwanza na ya pili ya dunia, napata wasiwasi sana na kasi ya uundaji wa rocket za masafa marefu ya china.
Kwa taarifa zilizopo mpaka sasa wameweza kurusha KOMBORA(MISSLE) na limezunguka dunia mara 5 zaidi ya spidi ya sauti, na hakuna radar yoyote imeweza kuiona mpaka imerudi tena kutua china ilipotoka , shirika la pentagon linasema halina uhakika lakini linajua ni kombora lilipita.