Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona simple Tu..limerushwa out of orbit na kuzunguka kama satellite lakini opposite Na direction ya mzunguko wa Dunia hivo kuzunguka mara5 Ni rahisi sana...Na kwasababu Ni mbali radar hazidetect kirahisi
Yaani Xi Amedhamiria. Anataka future ya dunia iwe na China katikati. Anaunda jeshi ili kuilinda future hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nuclear cell.Mh!! Kombora lilikuwa linatumia fuel ya aina gani?
Kuizunguka dunia x5 sio poa ...
Nuclear?Nuclear cell.
Hata hivyo, makombora ya aina hii hayahitaji nguvu nyingi kwani yana'glide' yakisharushwa angani.
Sasa wapalestina, kama mfano ulioutumia, watajilinda vipi mkuu dhidi ya uonevu wanaofanyiwa!Mkuu kujilinda muhimu,nilitemea ungeulizia kuhusu Israel kupora ardhi wa Wasyria pale milima Golan dunia ipo kimya pia kila kukicha Israel inapora ardhi ya waparestina na kujenga makazi dunia kimyaaaa kama hakuna dhulma inayofanyika,wiki ya Jana wamevamia mashamba ya wapalestina wakakata mizeytuni kwa chainsaw dunia kimyaaa wapalestina wangejibu ungeambiwa magaidi na je mpaka unajitambua unajua kuwa Bethlehem ipo palestina?
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Mkuu, hiyo ni wakati mfupi wa kunyanyuka chombo toka duniani, kikishafika huko juu nguvu ya namna hiyo haihitajiki.Nuclear?
Mbona rockets kwenda kwenye anga bado wanakomaa na hydrogen au mimi ndiye sielewi
Kama analima nyanya na matikiti aendelee kulima mazao hayo[emoji23][emoji23][emoji23]Endelea kufanya shughuli zako mkuu
Nimekupata, inakuwa kama satellite, kwani ICBM ndivyo zote zina function hivyo?Mkuu, hiyo ni wakati mfupi wa kunyanyuka chombo toka duniani, kikishafika huko juu nguvu ya namna hiyo haihitajiki.
Mkuu wewe uko miaka ya 70s au? Hii Ni 2021.. majibu:huezi zunguka high orbit kwa sababu satelite znakaa uko, you will collide with the satelites na pia ukiwa on high earth orbit ukiwa na spidi kama hio maaana yake ukiwa unarudi chini everything will explode na msuguano ukiwa unaanza kuingia kwenye atmosphere
Mkuu kujilinda muhimu,nilitemea ungeulizia kuhusu Israel kupora ardhi wa Wasyria pale milima Golan dunia ipo kimya pia kila kukicha Israel inapora ardhi ya waparestina na kujenga makazi dunia kimyaaaa kama hakuna dhulma inayofanyika,wiki ya Jana wamevamia mashamba ya wapalestina wakakata mizeytuni kwa chainsaw dunia kimyaaa wapalestina wangejibu ungeambiwa magaidi na je mpaka unajitambua unajua kuwa Bethlehem ipo palestina?
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Asipoteze muda tu [emoji23] [emoji23]Kama analima nyanya na matikiti aendelee kulima mazao hayo[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu wewe uko miaka ya 70s au? Hii Ni 2021.. majibu:
1.kwanini satellite hazijigongi zenyewe Kwa zenyewe?
2.blue origin Na space X wanarusha rocket nje ya space Na inarudi Na kutua vizuri Tu Sasa rocket inatofauti gan Na bom?
Mkuu, hili halihitaji kwenda huko unakolipeleka.Unaweza kudhibitisha hili unalosema au ndo mambo ya kumezeshwa matango poli na mashekhe wenu na wewe umekuja kutapika utopolo wako humu
Me najua ni wizara ya ulinzi ya marekani.we umeandika shirika la pentagonkwan pentagon huijui boss