Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,681
- 9,084
Una akili Sana ..Sasa unganishasatelites haziwezi kugonganga kwa sababu ya trajectory
2) wanarusha rocket kwenda juu na sio side ways
Hizo idea mbili unapata Hilo BOM la mchina..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una akili Sana ..Sasa unganishasatelites haziwezi kugonganga kwa sababu ya trajectory
2) wanarusha rocket kwenda juu na sio side ways
Mkuu, hili halihitaji kwenda huko unakolipeleka.
Ukweli ni kwamba aliyoandika ni kweli.
Sijui unataka athibitishe vipi sasa taarifa ambayo inajulikana duniani kote.Authibitishe
Uwezo wa kusambaratisha dunia kama tuujuavyo hadi sasa tayari upo kabisa. Ni swala la kuomba tu vichaa wasipewe nafasi ya kufanya kazi hiyo.Kuna siku hii dunia raia wataipasua vipande vipande tumwagikane na habari iishie hapo
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Sijui unataka athibitishe vipi sasa taarifa ambayo inajulikana duniani kote.
Wewe hujui kwamba wapalestina wanaporwa maeneo yao, au hilo la sehemu ya Syria iliyotekwa wakati wa vita?
Unataka athibitishe vipi?
Kama wewe ni mfuatiliaji wa maswala kama haya huwezi kutojua yanayoendelea huko, hadi uhitaji uthibitisho.
Kitu kikifanywa na Marekani hua mnakiona ni halali, kikifanywa na taifa jingine inaanza kuwa kesi.
Huo mwito wako ungeuambia umoja wa mataifa uiangalie Marekani kwa jicho Kali,sababu inamiliki makombora ya nyuklia yapatayo 7000,yana uwezo wa kupiga mji wowote hapa duniani.
in other words IF YOU CAN'T CHANGE IT CHANGE YOUR MINDKuna mzee alinambia ukiona kuna jambo huwezi kulifanyia maamuzi au kulibadilisha, iambie akili yako iachane nalo na kupeleka focus kwenye mambo mengine ya msingi yaliyo ndani ya uwezo wako.
- Binadamu hua tunaitwa SELF DESTRUCTIVE specie, maana yake ni viumbe wenye uwezo wa kujimaliza wenyewe ukilinganisha na viumbe wengine wote basi binadam tuna sifa hizo, kila nkiwaza vita ya kwanza na ya pili ya dunia, napata wasiwasi sana na kasi ya uundaji wa rocket za masafa marefu ya china, kwa taarifa zilizopo mpaka sasa wameweza kurusha KOMBORA(MISSLE) na limezunguka dunia mara 5 zaidi ya spidi ya sauti , na hakuna radar yoyote imeweza kuiona mpaka imerudi tena kutua china ilipotoka , shirika la pentagon linasema halina uhakika lakini linajua ni kombora lilipita.
Mkuu naomba nkuulize, je, hili jambo lingefanywa na mmarekan ungehoji pia kuelezea wasiwasi wako? Au ungeshangilia na kusema baba wa dunia kafanya

Mkuu, sitafuti ubishi hapa. Kama unavyoelewa ndivyo unavyodhani ni sahihi, basi endelea kuamini hivyo.Ebu nitajie eneo ambalo parestina wameporwa na israel
Mkuu, sitafuti ubishi hapa. Kama unavyoelewa ndivyo unavyodhani ni sahihi, basi endelea kuamini hivyo.
Jitahidi kusumbua kichwa kufikiri na kufuatilia dunia inavyokwenda au unafikiri kila mtu humu kabeba kichwa kuhifadhia kamasi.Unaweza kudhibitisha hili unalosema au ndo mambo ya kumezeshwa matango poli na mashekhe wenu na wewe umekuja kutapika utopolo wako humu
Jitahidi kusumbua kichwa kufikiri na kufuatilia dunia inavyokwenda au unafikiri kila mtu humu kabeba kichwa kuhifadhia kamasi.
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Mkuu , habarihuezi zunguka high orbit kwa sababu satelite znakaa uko, you will collide with the satelites na pia ukiwa on high earth orbit ukiwa na spidi kama hio maaana yake ukiwa unarudi chini everything will explode na msuguano ukiwa unaanza kuingia kwenye atmosphere
- Binadamu hua tunaitwa SELF DESTRUCTIVE specie, maana yake ni viumbe wenye uwezo wa kujimaliza wenyewe ukilinganisha na viumbe wengine wote basi binadam tuna sifa hizo, kila nkiwaza vita ya kwanza na ya pili ya dunia, napata wasiwasi sana na kasi ya uundaji wa rocket za masafa marefu ya china, kwa taarifa zilizopo mpaka sasa wameweza kurusha KOMBORA(MISSLE) na limezunguka dunia mara 5 zaidi ya spidi ya sauti , na hakuna radar yoyote imeweza kuiona mpaka imerudi tena kutua china ilipotoka , shirika la pentagon linasema halina uhakika lakini linajua ni kombora lilipita.
Anza kuchukua hatua wewe kuwakabiri wayahudi sio kutegemea wengine wawe front wewe ubakie nyuma ya keypads tu.Mkuu kujilinda muhimu,nilitemea ungeulizia kuhusu Israel kupora ardhi wa Wasyria pale milima Golan dunia ipo kimya pia kila kukicha Israel inapora ardhi ya waparestina na kujenga makazi dunia kimyaaaa kama hakuna dhulma inayofanyika,wiki ya Jana wamevamia mashamba ya wapalestina wakakata mizeytuni kwa chainsaw dunia kimyaaa wapalestina wangejibu ungeambiwa magaidi na je mpaka unajitambua unajua kuwa Bethlehem ipo palestina?
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Hili jambo lako lina upendeleo kidogo,
1. Urusi ana mabomu ya maafa/uharibifu makubwa/mkubwa (Weapons of Mass Destruction{WMDs}) yanayokadiriwa kuwa zaidi ya elfu 6, ikifuatiwa na USA akiwano zaidi ya elfu 5.
2. Ushirika wa kijeshi wa NATO ndo unaongoza kuwa na silaha za maangamizi makubwa kuliko ushirika mwingine wowote ule uliowahi kutokea hapa duniani.
Uwezo wa kujilinda ni muhimu. Mchina anataka kuwa superpower, kwa hiyo lazima awe na uwezo wa kujilinda kijeshi yeye na rafiki zake. Mchina anachofanya sasa ni kutuma taarifa tu, kwamba, "ukinivuruga, nitakuvuruga." Na hiyo ndo njia pekee nchi za magharibi zinaelewa, ukitoa pesa.
"MUTUALLY ASSURED DESTRUCTION {M.A.D}"
Mkuu naomba nkuulize, je, hili jambo lingefanywa na mmarekan ungehoji pia kuelezea wasiwasi wako? Au ungeshangilia na kusema baba wa dunia kafanya
Mkuu , habari
1. Kutoka maelezo ya NASA, kuna kitu kinaitwa "Low Earth Orbit (LEO)" ambapo satellites nyingi zinapatikana (hii L.E.O inaanzia kilomita 180 mpaka kilomita 2000), ikiwemo na International Space Station (ISS) ikiwa umbali wa kilomita 408 (umbali wa Dar - Iringa ni kilomita 488).
2. Kuhusu swala la msuguano na kulipuka, inaweza kutokea kukiwa na hitilafu flani flani kwenye chombo chenyewe (hapa unaweza kufutilia swala la kulipuka kwa Space Shuttle Columbia mwaka 2003), lakini sio kawaida.
- Unaweza kufuatilia Docuseries ya SpaceX (kampuni ya Elon Musk) jinsi walivyopeleka Raia(Civilians), narudia tena wamepeleka raia na sio wana-anga wa mbali (Trained Astronauts/Cosmonauts), huko space katika umbali wa kilomita 590 kwa siku tatu na wakarudi duniani bila shida yoyote (orbit ya 590km ni zaidi ile ya ISS ya 408km )
- Docuseries hiyo itakupa kuonesha/elekeza/fundisha jinsi wanavyojitahidi kukabiliana na swala hilo.
- Pia itakuonesha kuwa swala la kurudi duniani sio rahisi kama apple lilivyomdondokea Sir Isaac Newton, itaona kwamba kuna vitu vingi sana wanaviangalia kuanzia muda, hali ya hewa(atmospheric condition) kama upepo, halijoto, unyevunyevu etc, hali ya bahari(sea/oceanic condition) maana rocket zinazobeba binadamu zote mpaka sasa huwa zinaelekezwa kudondokea baharini, etc. NB; Hakuna jambo lisilo na kasoro/hatari,