Umoja wa Mataifa uwaangalie China kwa jicho la pili

satelites haziwezi kugonganga kwa sababu ya trajectory
2) wanarusha rocket kwenda juu na sio side ways
Una akili Sana ..Sasa unganisha
Hizo idea mbili unapata Hilo BOM la mchina..
 
Kitu kikifanywa na Marekani hua mnakiona ni halali, kikifanywa na taifa jingine inaanza kuwa kesi.
Huo mwito wako ungeuambia umoja wa mataifa uiangalie Marekani kwa jicho Kali,sababu inamiliki makombora ya nyuklia yapatayo 7000,yana uwezo wa kupiga mji wowote hapa duniani.
 
Authibitishe
Sijui unataka athibitishe vipi sasa taarifa ambayo inajulikana duniani kote.
Wewe hujui kwamba wapalestina wanaporwa maeneo yao, au hilo la sehemu ya Syria iliyotekwa wakati wa vita?

Unataka athibitishe vipi?

Kama wewe ni mfuatiliaji wa maswala kama haya huwezi kutojua yanayoendelea huko, hadi uhitaji uthibitisho.
 

Ebu nitajie eneo ambalo parestina wameporwa na israel
 

Ni sawa na huku tu ccm wakifanya mikutano ni halali ila chadema wakifanya inakuwa haramu
 
Mambo mengine ukiyafuatilia sana utaogopa kufanya mambo yako
 
Mkuu naomba nkuulize, je, hili jambo lingefanywa na mmarekan ungehoji pia kuelezea wasiwasi wako? Au ungeshangilia na kusema baba wa dunia kafanya
 
Unaweza kudhibitisha hili unalosema au ndo mambo ya kumezeshwa matango poli na mashekhe wenu na wewe umekuja kutapika utopolo wako humu
Jitahidi kusumbua kichwa kufikiri na kufuatilia dunia inavyokwenda au unafikiri kila mtu humu kabeba kichwa kuhifadhia kamasi.

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu , habari

1. Kutoka maelezo ya NASA, kuna kitu kinaitwa "Low Earth Orbit (LEO)" ambapo satellites nyingi zinapatikana (hii L.E.O inaanzia kilomita 180 mpaka kilomita 2000), ikiwemo na International Space Station (ISS) ikiwa umbali wa kilomita 408 (umbali wa Dar - Iringa ni kilomita 488).

2. Kuhusu swala la msuguano na kulipuka, inaweza kutokea kukiwa na hitilafu flani flani kwenye chombo chenyewe (hapa unaweza kufutilia swala la kulipuka kwa Space Shuttle Columbia mwaka 2003), lakini sio kawaida.

  • Unaweza kufuatilia Docuseries ya SpaceX (kampuni ya Elon Musk) jinsi walivyopeleka Raia(Civilians), narudia tena wamepeleka raia na sio wana-anga wa mbali (Trained Astronauts/Cosmonauts), huko space katika umbali wa kilomita 590 kwa siku tatu na wakarudi duniani bila shida yoyote (orbit ya 590km ni zaidi ile ya ISS ya 408km )
  • Docuseries hiyo itakupa kuonesha/elekeza/fundisha jinsi wanavyojitahidi kukabiliana na swala hilo.
  • Pia itakuonesha kuwa swala la kurudi duniani sio rahisi kama apple lilivyomdondokea Sir Isaac Newton, itaona kwamba kuna vitu vingi sana wanaviangalia kuanzia muda, hali ya hewa(atmospheric condition) kama upepo, halijoto, unyevunyevu etc, hali ya bahari(sea/oceanic condition) maana rocket zinazobeba binadamu zote mpaka sasa huwa zinaelekezwa kudondokea baharini, etc. NB; Hakuna jambo lisilo na kasoro/hatari,
 
Hili jambo lako lina upendeleo kidogo,

1. Urusi ana mabomu ya maafa/uharibifu makubwa/mkubwa (Weapons of Mass Destruction{WMDs}) yanayokadiriwa kuwa zaidi ya elfu 6, ikifuatiwa na USA akiwano zaidi ya elfu 5.

2. Ushirika wa kijeshi wa NATO ndo unaongoza kuwa na silaha za maangamizi makubwa kuliko ushirika mwingine wowote ule uliowahi kutokea hapa duniani.

Uwezo wa kujilinda ni muhimu. Mchina anataka kuwa superpower, kwa hiyo lazima awe na uwezo wa kujilinda kijeshi yeye na rafiki zake. Mchina anachofanya sasa ni kutuma taarifa tu, kwamba, "ukinivuruga, nitakuvuruga." Na hiyo ndo njia pekee nchi za magharibi zinaelewa, ukitoa pesa.

"MUTUALLY ASSURED DESTRUCTION {M.A.D}"​
 
Anza kuchukua hatua wewe kuwakabiri wayahudi sio kutegemea wengine wawe front wewe ubakie nyuma ya keypads tu.
 

wakati hitler anawakorofisha watu, japan alikua zake ametulia! - lakini leo ukisema neno hiroshima na nagasaki nadhan haihitaji maelezo zaidi - nn cha kujifunza apa? hitler ndo alikua chanzo kibano kikamwangukia japan - nani anajua haya makombora yatamshukia nan ilihali haya yote yanafanyika kwa ajili ya marekani?
 
Mkuu naomba nkuulize, je, hili jambo lingefanywa na mmarekan ungehoji pia kuelezea wasiwasi wako? Au ungeshangilia na kusema baba wa dunia kafanya

kuhoji ni lazima, ila kitendo cha kurusha kombora liliozunguka dunia nzima na kurudi china bila kugundulika na radar yoyote duniani ho inajumlisha mpaka tanzania
 

1: low earth orbit unayoongelea wewe ni zile satelites znazotumia free fall circulation,yaani kinachoifanya izunguke ni mwendo wake wa kuanguka, hizi hua znakaa angalau wiki au mwezi then znayeyuka, hazina span kubwa! most satelites including the ISS zpo kuanzia middle kwenye mpaka high earth orbit

2) msuguano sio swala la kiufundi ni kitu cha kawaida ndo maaana hata zile asteroid hua znapasuka zikifika hili eneo, ni changes in atmospheric pressure husababisha spidi na hio kali kutokea mlipuko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…