Ukiachana na pesa ulinzi pekee hapa duniani ni kuwa na masilaha yenye nguvu hasa kwa nchi zinazotaka kuwa au kuzidi kuwa super power , hakuna u super power bila kuwa na madude yanayoweza kuangamiza karibu dunia nzima na viumbe vyake kuanzia juu hadi mafuti kibao kwenda chini...