Umoja wa Mataifa wapitisha azimio kutaka vita isitishwe, Israel yapinga na yaongeza mapigo Gaza

Umoja wa Mataifa wapitisha azimio kutaka vita isitishwe, Israel yapinga na yaongeza mapigo Gaza

Taifa baya sana lenye kiburi cha hali ya juu.Wanapinga maazimio hadharani bila kumuonea haya yeyote.
NI haki yao kujilinda kumbuka walishawahi kung'atwa na nge na Hitler , waliuliwa ndugu zao million kadhaa , wakikumbuka hayo kiukweli NI haki yao kulikataa Hilo azimio .
 
NI haki yao kujilinda kumbuka walishawahi kung'atwa na nge na Hitler , waliuliwa ndugu zao million kadhaa , wakikumbuka hayo kiukweli NI haki yao kulikataa Hilo azimio .
Kama ni kujilinda wakajilinde huko walikopigwa na Hitler sio kwenye ardhi za watu.
 
Taifa baya sana lenye kiburi cha hali ya juu.Wanapinga maazimio hadharani bila kumuonea haya yeyote.
Hao wa zionists hawana tofauti na wa Nazi, ni itikadi zile zile
Wanapewa kiburi na makampuni makubwa ya kiyahudi yanayo fadhili wanasiasa wa kimarekani
 
Taifa baya sana lenye kiburi cha hali ya juu.Wanapinga maazimio hadharani bila kumuonea haya yeyote.
Bila kufanya hivyo hawatajua thamani ya amani siku zote za maisha yao(hamas) hapa ndio pa kujifunza kuishi kwa amani........kama ni ardhi tutaikuta mbinguni maana wote tutakufa
 
Kama ni kujilinda wakajilinde huko walikopigwa na Hitler sio kwenye ardhi za watu.

Ardhi ya wote na mwenye nguvu ndio atakayeichukua
IMG_3874.jpg
 
Hao wa zionists hawana tofauti na wa Nazi, ni itikadi zile zile
Wanapewa kiburi na makampuni makubwa ya kiyahudi yanayo fadhili wanasiasa wa kimarekani

Mkuu nenda kavae suicide vest ukajilipue kuonyesha umechukizwa na ufadhili wa hayo makampuni
 
Ndhivyo inavyokuwa.Binadamu akiona mipango yake inakwenda sawa huwa anapta kiburi sana.Israel kwa sasa amepanda hilo daraja mpaka juu.Kinachofuata ni kuporomoshwa kwa aibu ili ulimwengu wote ushuhudie kuwa ufalme wa dunia una mwenyewe aliyeumba mbingu na ardhi.
Nitakuwa wa mwisho kuliamini hilo!!
 
Ardhi ya wote na mwenye nguvu ndio atakayeichukua
View attachment 2795687
Hii ya kulia ya kijani aliko Mahmoud Abbas ndio iliyobkia.Nani ataendelea kudanganyika kuwa Israel ana nia ya kumpa madaraka eti atawale na Gaza.
Uzuri ni kwamba kabla haijamalizika yote hali imechafuka na itarudi kinyume nyume kuwa hiyo ya kushoto kwa uwezo wa Allah.
1698492474259.png
 
Ala hana uwezo huo mana ala sio mungu bali ni sanamu lile kubwa miongoni mwa miungu 360 ya kureshi iliyokuwa ikiabudiwa,ndio mana kila siku mmkazana kuita alla akbar.

Kipingo kiko pale pale huyo ala hana uwezo huo angekua nao angeshaifua israel kitambo.

IMG_3077.jpg
 
Kwa sauti moja hapo jana baraza kuu la umoja wa mataifa lilipitisha azimia likitaka vita visitishwe kwa muda ili kutoa fursa ya majadiliano na kuwezesha misaada kuingia Gaza.

Kinyume chake taifa la Israel limepinga azimio hilo na katika kipindi cha masaa 24 wameongeza mapigo makali kuzidi ukali wa siku iliyopita.Katika tamko la kupinga azimio hilo Israel imeiambia UN haina uhalali wa kutoa azimio kama hilo.

Vikosi vya IDF vimeanza kuingia Gaza kwa wingi kwa kutumia vifaru ardhini na ndege za kijeshi angani zikisaidiwa na droni.

Hali ya Gaza imeelezwa na walio ndani kuwa sasa ni balaa tupu,hakuna matumaini tena na hata watu walioko huko ikiwemo waandishi wa habari hawawezi kufikiwa tena. Ndugu walioko nje na ndani kusini na kaskazini hawawezi kujuliana hali tena.
Ungekuwa unaripoti namna hii Toka uvamizi umeanza pengine ungekuwa mbali sana.
 
Back
Top Bottom