Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mungu wabariki Wapinzani .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa bunge gani hili la ndugai hilo sio bunge ni mkutano wa inziKatika moja ya vitu ambavyo vyama vya upinzani vimekuwa vikipigia kelele mara kwa mara ni kuwa mihimili iheshimiane na kutekeleza majukumu yake. Lakini kufuatia kufunguliwa kwa hati ya dharura mahakamani kudai kuondolewa kwa mswada wa vyama vya siasa ambao bado haujapitishwa, ni kutoheshimu na kuyaamini maamuzi ya Bunge. Wabunge ndio wenye haki ya kuukubali au kuukataa mswada unaopelekwa Bungeni kwa kura.
Sasa je! ni sheria ipi inayoruhushu mtu asiye mbunge (Umoja wa vyama vya siasa unaoundwa na baadhi ya wajumbe wasio wabunge) kupinga au kukubali mswada Bungeni. Hashim Rungwe, Fatma Karume, Lowasa, Maalim Seif hao wote si wabunge wapange mswada ukubaliwe au ukataliwe! Kwanini wasingoje Bungeni waupinge kama wanavyotaka kufanya?
MIHIMILI IHESHIMIWE!
Bunge limejaa mambumbumbu ya NDIYOO...Katika moja ya vitu ambavyo vyama vya upinzani vimekuwa vikipigia kelele mara kwa mara ni kuwa mihimili iheshimiane na kutekeleza majukumu yake. Lakini kufuatia kufunguliwa kwa hati ya dharura mahakamani kudai kuondolewa kwa mswada wa vyama vya siasa ambao bado haujapitishwa, ni kutoheshimu na kuyaamini maamuzi ya Bunge. Wabunge ndio wenye haki ya kuukubali au kuukataa mswada unaopelekwa Bungeni kwa kura.
Sasa je! ni sheria ipi inayoruhushu mtu asiye mbunge (Umoja wa vyama vya siasa unaoundwa na baadhi ya wajumbe wasio wabunge) kupinga au kukubali mswada Bungeni. Hashim Rungwe, Fatma Karume, Lowasa, Maalim Seif hao wote si wabunge wapange mswada ukubaliwe au ukataliwe! Kwanini wasingoje Bungeni waupinge kama wanavyotaka kufanya?
MIHIMILI IHESHIMIWE!
KAMA AKINA ZITTO, BULAYA NA MDEEBunge limejaa mambumbumbu ya NDIYOO...
Wenye upeo mdogo wapo ccm tuuKAMA AKINA ZITTO, BULAYA NA MDEE
Katika moja ya vitu ambavyo vyama vya upinzani vimekuwa vikipigia kelele mara kwa mara ni kuwa mihimili iheshimiane na kutekeleza majukumu yake. Lakini kufuatia kufunguliwa kwa hati ya dharura mahakamani kudai kuondolewa kwa mswada wa vyama vya siasa ambao bado haujapitishwa, ni kutoheshimu na kuyaamini maamuzi ya Bunge. Wabunge ndio wenye haki ya kuukubali au kuukataa mswada unaopelekwa Bungeni kwa kura.
Sasa je! ni sheria ipi inayoruhushu mtu asiye mbunge (Umoja wa vyama vya siasa unaoundwa na baadhi ya wajumbe wasio wabunge) kupinga au kukubali mswada Bungeni. Hashim Rungwe, Fatma Karume, Lowasa, Maalim Seif hao wote si wabunge wapange mswada ukubaliwe au ukataliwe! Kwanini wasingoje Bungeni waupinge kama wanavyotaka kufanya?
MIHIMILI IHESHIMIWE!
bunge lenye 75% misukule utaanzaje mtu kuliamini kwa mfano?Katika moja ya vitu ambavyo vyama vya upinzani vimekuwa vikipigia kelele mara kwa mara ni kuwa mihimili iheshimiane na kutekeleza majukumu yake. Lakini kufuatia kufunguliwa kwa hati ya dharura mahakamani kudai kuondolewa kwa mswada wa vyama vya siasa ambao bado haujapitishwa, ni kutoheshimu na kuyaamini maamuzi ya Bunge. Wabunge ndio wenye haki ya kuukubali au kuukataa mswada unaopelekwa Bungeni kwa kura.
Sasa je! ni sheria ipi inayoruhushu mtu asiye mbunge (Umoja wa vyama vya siasa unaoundwa na baadhi ya wajumbe wasio wabunge) kupinga au kukubali mswada Bungeni. Hashim Rungwe, Fatma Karume, Lowasa, Maalim Seif hao wote si wabunge wapange mswada ukubaliwe au ukataliwe! Kwanini wasingoje Bungeni waupinge kama wanavyotaka kufanya?
MIHIMILI IHESHIMIWE!
25% VILAZA KUTOKA UKAWAbunge lenye 75% misukule utaanzaje mtu kuliamini kwa mfano?
NI KWELI KABISA, HAWA JAMAA SIJUI WANAWAZA NINIKwa maoni yangu Mahakama hauwezi kuingilia mhimili wa Bunge. Sheria ipo katika mchakato kwa hiyo inabidi wasubiri sheria ipite ndipo waiombe mahakama kuitafsiri au kuifuta. Tumezoea jambo likiwa mahakamani Bunge huwa haliongelei kabisa.
Hilo hilo la Ndugai si ndio linalowapatia posho zinazotumika katika kujenga majumba na kufungua mahoteli?.