Umoja wa vyama 10 vya upinzani nchini Tanzania vimefungua kesi Mahakamani Kuu kupinga muswada wa sheria ya vyama vya siasa

Kwahiyo nawewe hapa unajiita umepandisha uzi?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi siasa ukiendekeza utalazwa wazi au njaa kama hujajisajili
Kwanini
Ni biashara ya mdomo kujipatia vipato na maendeleo kwa mgongo wakusema eti wanatetea wananchi wanyonge ndo maana kauli zao siku zote hubadilikabadilika pia walishatuambia tusiwaamini.... inatosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonekana na wewe unatumika kuleta huu uzi hapa. Bunge lenyewe la CCM,lenye wabunge wengi wa CCM,ushindi wa kura nyingi za ndioooooo za CCM…a you ok!? Nenda kaungane tu na mus..ba kutafuta vyeo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna Bunge Tanzania??

Rudi shule.
 

Mantiki ya thread yako ni kuwa wewe upo constant kwa kila kitu bila kujali context. Hata umri wako unabaki vile vile miaka nenda miaka rudi, si ndio?
Ujumbe mwingine unaotaka kutupa hapa ni kuwa wanasiasa wasio wa upinzani (read ccm) ndio wanaaminika. Yaani ccm hii hii ambayo mwenyekiti wake anasema alipoingia madarakani alikuta sukari inauzwa Shilingi 5,000, ambae anatuambia ATCL imepata faida ya 28 billion wakati hata hesabu zake hazijatengenezwa na kukaguliwa, anaetuambia tuna pesa za kutosha na hatuhitaji mikopo lakini akiwasifia Wachina kwa kutoa mikopo isiyo na masharti?
I rest my case!
 
Asante sana kwa bonge la post
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rudi shule ukajifunze kuwa sio wote wana akili fupi kama wewe.
 

Huo mkataba aliotaka upelekwe bungeni ukajadiliwe ulipelekwa? Kila siku watu wanataka mikataba ya madini ipelekwe bungeni. Hilo limefanyika? Mbona mnapeleka hiyo sheria ya tabia za rais ikajadiliwe kama mnaamini kwenye kupeleka mambo yakajadiliwe bungeni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…