Kifaurongo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 4,221
- 2,359
Hii kitu sio kituko!! Unapinga mswaada ambao haujawa sheria au wanapingwa usijadiliwe bungeni? Mahakama inaweza kuingilia mswaada ulioko ktk muhimili wa Bunge kwa kujadiliwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hayo mabeberu majike yapo wapi? Kumbuka hayo mabeberu yanachangia bajeti yetu.Dovutwa nae Na kikofia chake chekundu yupo Kwenye hilo Genge la Mawakala wa Mabeberu!
Wewe ndio kituko, kasome ibara ya 30 ya katiba ya JMT, mtu yeyote atakayeona haki zake zinavunjwa au ZINAELEKEA kuvunjwa ana haki ya kwenda mahakamani kuzuia,Hii kitu sio kituko!! Unapinga mswaada ambao haujawa sheria au wanapingwa usijadiliwe bungeni? Mahakama inaweza kuingilia mswaada ulioko ktk muhimili wa Bunge kwa kujadiliwa?
Kwanza kabisa nakushangaa hivi maana ya upinzani ni kussuport?hizi siasa za hapa nyumbani pasua kichwa tu, yaani mtu unakua mpinzani for more than 20 years wewe unapinga tu kila administration; hatujawahi kukuona ukisupport chochote!
badilikeni jamani.
Nafikir sasa ni muda kwa vyama vya upinzani kuwa na makao makuu ya pamoja ili kuimarisha umoja huo, kuliko kukaa ofisi za uchochoroni mnatia aibu, mkiwa katika ofsi halali inayojulikana Tanzania nzima hata vikao vyenu vitakuwa na uhalali wa kiwango kisicho cha kubughudhiwa, sababu kitaaminiwa.
Mbali na kuwa mbunge yeye Zitto ni kiongozi mkuu wa Chama cha ACT WAZALENDO unafikiri ataenezaje sera za chama chake nchi nzima?Hiki kitu ndicho kinanishangaza! Ukianga ule Muswada unakataza tu kufanya mikutano sehemu isiyo yako! Yaani kama Zitto ni mbunge wa Kigoma mjini basi akafanye mkutano huko Kigoma mjini aongee na wananchi wake, asikilize kero zao awape mrejesho lakini hawataki wao wanataka wote waje kufanyia mkutano hapa Dar wakati si sehemu zao! watu wa Dar wanakuja kutumbia nini hasa?
Umezisoma sera mbadala za CDM?Mimi nimezisoma,ni sera nzuri sana kwa maoni yangu!Sio kukaaaa kmya, nachokisemea ni kusubilia matukio ndio iwe ajenda yao kwa mda wote mpaka pale litakapotokea tukio jingine,, ambapo nao hubadili gear na kugeuza kuwa ajenda kwao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shidanata sio ukijani shida tumezoea siasa holela! ni ukweli ulio wazi kuwa waafrica vichwa vyetu haviwazi kushikamana kwaajili ya maendeleo yetu sie tupo ili tukwamishane tu! hatupendi hata kidogo mtu fulani afanikiwe na hapa ndipo white wanapotutumia kwa udhaifu wetu huu!Mbali na kuwa mbunge yeye Zitto ni kiongozi mkuu wa Chama cha ACT WAZALENDO unafikiri ataenezaje sera za chama chake nchi nzima?
Watu wenye damu ya kijani mna shida sana upande wa kufikiri bora hata ya mjusi ana damu ya baridi lakini anajitambua
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbwiga kwani hukuwaona?
We mbuzi jike usipotaja beberu huoni raha au kila siku uko hitDovutwa nae Na kikofia chake chekundu yupo Kwenye hilo Genge la Mawakala wa Mabeberu!
...kwa wanyonyajiHarakati huwa hazina ofisi maalumu hata chini ya mwembe zinafanyika, ukitaka viyoyozi nenda Lumumba.
Atakua bepariDovutwa nae Na kikofia chake chekundu yupo Kwenye hilo Genge la Mawakala wa Mabeberu!
Naamini kabisa kuna mazuri yaliyofanywa na Serikali ya CCM katika hayo yote mnayoyapinga kama kweli lengo lenu ni kulijenga Taifa ni kwanini hata katika hayo mema hatuwasikii?Nani anayepima mitazamo, wanaosaini mikataba mibovu na kuuza maliasili zetu ndio hao wenye mitazamo chanya?
Hata la kikokotoo hujawasikia wapinzani.Naamini kabisa kuna mazuri yaliyofanywa na Serikali ya CCM katika hayo yote mnayoyapinga kama kweli lengo lenu ni kulijenga Taifa ni kwanini hata katika hayo mema hatuwasikii?
Wewe utakua ni kiongozi huko upinzani Maana tafsiri ya upinzani waliyo nayo ndio kama yako.Kwanza kabisa nakushangaa hivi maana ya upinzani ni kussuport?
Upinzani ni kuibua hoja ili serikali izifanyie kazi, na zinapofanyiwa kazi kazi ya upinzani ni kuibua hoja zingine wakissuport maana yake ni kwamba hakuna changamoto tena, nimekupa elimu kidogo maana naona uelewa wako uko chini kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo wewe unajua zaidi ya majaji waliositisha likizo kuja kusikiliza.Hao ni wasanii tu,wameshindwa kabla ya kuanza
Bunge na mahakama ni mihimili isioingiliana,kama abavyo bunge haliwezi kuingilia shughuli za mahakama,vivyo hivyo mahakama imefungwa mikono kuhusu kulizuia bunge kufanya kazi zake
Ingekua rahisi kihivyo wangeenda kuzuia bunge lisipitishe miswada mingi sana,lakini kwa kua upinzani Tanzania umejengwa kwa misingi ya ghilba na hadaa,hapa wanajaribu kuwa enjoy watanzania