Umoja wa wanawake CCM wasikitishwa na udhalilishaji wa Makonda, watoa tamko

Mwenyekiti wa UWT Taifa mh Mary Chatanda amemwambia Makamu mwenyekiti wa CCM komredi Kinana kwamba Wanawake Wana uwezo mkubwa wa Kuongoza kuliko Wanaume hivyo wasidharauliwe Waheshimiwe

Chatanda amesema amemweleza Hata Waziri mkuu kwamba yeye binafsi hatapenda kuona Wanawake wanakosewa Heshima

Mlale Unono 😄😄

Kwako Lucas ukiwa Longido😂
 
Duh basi tuwaachie nafasi zote za uongozi nchi nzima kisha sisi wanaume tukae pembeni ili tuone uwezo wao
 
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) Marry Chatanda ameeleza kusikitishwa na kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda alichokiita unyanyasaji na udhalilishaji wa watendaji wanawake kwenye maeneo yao ya kazi...
Wivu tu, Makonda ana mke mzuri kuliko wanawake wote Tanzania akiwemo aliyemteua, hiyo salamu amewatumia Makonda.
 
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) Marry Chatanda ameeleza kusikitishwa na kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda alichokiita unyanyasaji na udhalilishaji wa watendaji wanawake kwenye maeneo yao ya kazi...
Kama haafiki ajiuzulu nafasi yake. hio ndio njia sahihi
 
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) Marry Chatanda ameeleza kusikitishwa na kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda alichokiita unyanyasaji na udhalilishaji wa watendaji wanawake kwenye maeneo yao ya kazi...
Mary Chatanda atakuwa ametumwa atoe tamko kama hilo 👁

Sisi tuliosomea Cuba na USSR tumeshafahamu whats cooking 👁😂

Individually Mary Chatanda asingekuwa na courage hiyo !

After all mtu kusema mimi nina mke tena mzuri sioni kama ni udhalilishaji 👁🙄😷
 
Back
Top Bottom