Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Yeah time will tell.Sema Fisiemu haijawahi kushindwa!Ngoja tuone sweetheart...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah time will tell.Sema Fisiemu haijawahi kushindwa!Ngoja tuone sweetheart...
Anza na neno alilolisema mwanzo kuhusu ushenga.Mi sijaona kosa kusema hivyo.Angesema mimi na mke mzuri zaidi yako Sawa ila hapo sijaona kosa.
Pole yake sanaYuko hai baada ya kufanyiwa upasuaji wa kichwa kuondoa damu kwenye ubongo, Wahusika akiwemo Chatanda watakamatwa baada ya ccm kung'olewa madarakani 2025
Pole sanaShida iko wap kusema ana mke mzuri?
Hajafanya vizur ndio, but je angefanyiwa mwanaume wangepaza kelele?Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) Marry Chatanda ameeleza kusikitishwa na kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda alichokiita unyanyasaji na udhalilishaji wa watendaji wanawake kwenye maeneo yao ya kazi.
Chatanda ameyasema hayo leo Jumamosi, Mei 25, 2024 jijini Dodoma wakati wa semina ya wabunge wa viti maalumu, manaibu waziri, mawaziri, makatibu wa jumuiya ya wazazi ngazi ya mkoa na wilaya ambapo mgeni rasmi alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania bara, Abdurahman Kinana
"Kuna 'clip' imezunguka kule Arusha, Longido haikuwa jambo jema wala sio zuri hata kidogo, kama wewe ni kiongozi mkuu wa Serikali na umemuona mtendaji wako amekosea ni vizuri ukakaa na kuzungumza nao, kwa suala la udhalilishaji wa wanawake siwezi kukubaliana nalo, tunaomba tuheshimiwe wanawake, tena sisi wanawake ni watendaji wazuri kuliko wanaume.
Chatanda amesema kuwa clip hiyo tayari ameshamtumia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Abdulrahmani Kinana.
Hatua hii ya UWT inafuatia matamshi ya Makonda katika kipande kifupi cha video kinachosambaa katika mitandao ya kijamii ambapo anasikika akisema, ...usiongee na mimi hivyo nina mke mzuri huongei na mchumba wako hapa...
Ahidi asitumbuliwa uliwe kalioMakomda baba lao huyu yuko sana hadi 2030.Nasemaje makonda chapa kazi
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
binadaam mwenzio usimuogope. ni udongo tu unaosubiri kuyeyukaMakonda ni huyuhuyu aliyesema Magufuli mungu wa Tanzania na Makonda mungu wa Dar es Sslaam! Watu wote tuliufyata mkia wakiwemo wateule wa Mungu maaskofu.
Chama kimsaidie mama kuongeza ufuatiliaji na uwajibikaji katika ofisi za umma.Chama kimsaidie mama kuchuja matakataka
Hamto ielewa Agenda mpaka siku itakapo fika. Makonda sio wa hapo ni idara nyingineMwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) Marry Chatanda ameeleza kusikitishwa na kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda alichokiita unyanyasaji na udhalilishaji wa watendaji wanawake kwenye maeneo yao ya kazi.
Chatanda ameyasema hayo leo Jumamosi, Mei 25, 2024 jijini Dodoma wakati wa semina ya wabunge wa viti maalumu, manaibu waziri, mawaziri, makatibu wa jumuiya ya wazazi ngazi ya mkoa na wilaya ambapo mgeni rasmi alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania bara, Abdurahman Kinana
"Kuna 'clip' imezunguka kule Arusha, Longido haikuwa jambo jema wala sio zuri hata kidogo, kama wewe ni kiongozi mkuu wa Serikali na umemuona mtendaji wako amekosea ni vizuri ukakaa na kuzungumza nao, kwa suala la udhalilishaji wa wanawake siwezi kukubaliana nalo, tunaomba tuheshimiwe wanawake, tena sisi wanawake ni watendaji wazuri kuliko wanaume.
Chatanda amesema kuwa clip hiyo tayari ameshamtumia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Abdulrahmani Kinana.
Hatua hii ya UWT inafuatia matamshi ya Makonda katika kipande kifupi cha video kinachosambaa katika mitandao ya kijamii ambapo anasikika akisema, ...usiongee na mimi hivyo nina mke mzuri huongei na mchumba wako hapa...
Alikua anafanya watu kimya kiaje lo?
Of course, kama na wewe uko upande huo huwezi kuona.Hiyo Clip mbona sijaona udhalilishaji wowote
Mama Samia fanya kazi yako sasa tumechoka.Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) Marry Chatanda ameeleza kusikitishwa na kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda alichokiita unyanyasaji na udhalilishaji wa watendaji wanawake kwenye maeneo yao ya kazi.
Chatanda ameyasema hayo leo Jumamosi, Mei 25, 2024 jijini Dodoma wakati wa semina ya wabunge wa viti maalumu, manaibu waziri, mawaziri, makatibu wa jumuiya ya wazazi ngazi ya mkoa na wilaya ambapo mgeni rasmi alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania bara, Abdurahman Kinana
"Kuna 'clip' imezunguka kule Arusha, Longido haikuwa jambo jema wala sio zuri hata kidogo, kama wewe ni kiongozi mkuu wa Serikali na umemuona mtendaji wako amekosea ni vizuri ukakaa na kuzungumza nao, kwa suala la udhalilishaji wa wanawake siwezi kukubaliana nalo, tunaomba tuheshimiwe wanawake, tena sisi wanawake ni watendaji wazuri kuliko wanaume.
Chatanda amesema kuwa clip hiyo tayari ameshamtumia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Abdulrahmani Kinana.
Hatua hii ya UWT inafuatia matamshi ya Makonda katika kipande kifupi cha video kinachosambaa katika mitandao ya kijamii ambapo anasikika akisema, ...usiongee na mimi hivyo nina mke mzuri huongei na mchumba wako hapa...
Kama huoni udhalilishaji kwenye kauli ya Makonda basi wewe na yeye mna walakini.Hiyo Clip mbona sijaona udhalilishaji wowote
Kwani watu wa idara hawashughulikiwi? yuko wapi Imran Kombe? Halafu ni wapi ambako imeandikwa watu wa idara watukane watuHamto ielewa Agenda mpaka siku itakapo fika. Makonda sio wa hapo ni idara nyingine