FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Sijawahi msikia Zitto akijitangaza uliberali, nakuona wewe na Tundu Lissu, msiokuwa na haya.Na Zitto Zuber Kabwe
Sijawahi kuwaelewa mashoga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi msikia Zitto akijitangaza uliberali, nakuona wewe na Tundu Lissu, msiokuwa na haya.Na Zitto Zuber Kabwe
Lakini mashoga si wapo dada yangu kipenzi na tunaishi naoSijawahi msikia Zitto akijitangaza uliberali, nakuona wewe na Tundu Lissu, msiokuwa na haya.
Sijawahi kuwaelewa mashoga.
Suphiani 🐼Sijawahi msikia Zitto akijitangaza uliberali, nakuona wewe na Tundu Lissu, msiokuwa na haya.
Sijawahi kuwaelewa mashoga.
Inabidi uwasikilize kwa makini wao wanajibu hoja tu ya kuitwa ‘cartel na maharamia’ na kuzushiwa kama chanzo cha uhaba wa sukari nchini.Hujaona hayo mapapa yanavyohaha hapo? Bila Bashe ungeyajuwa hayo?
Wao wazalishe sukari, Bashe huko kishafunga mjadala, sasa hakuna cha kibali hakuna cha nini., NFRA wanahakikishsa wanaipata sukari popote ilipo mradi ghala lao la kuhifadhi lisipunguwe tani 200,000 za sukari.
Wananunuwa kwa nani kazi kwao.
😀 😀 😀 rango ana kibri sana tena mjeuri haswaaaVideo kuna sehemu imekatwakatwa, nimeishia dk ya 10+ inatosha kuonesha kuna uhuni ulifanyika. Sasa yule rango ilikuwaje akamuhukumu yule jamaa kihuni huni vile.
Kulinda kwetu amani, viongozi wanatuona mapoyoyo kabisa, kumbe sivyo.
Unyeti wake ni upi??Balozi Mpungwe ni mtu nyeti sana
Kama kuna Waziri kamchezea faulo basi yajayo yanafurahisha 😀🔥
Yupo kwenye Kamati ya kumshauri Rais SamiaUnyeti wake ni upi??
ina maana hata yule dogo mlemavu (somebody matinyi if am not wrong) na yeye pia ni mtu nyeti???Yupo kwenye Kamati ya kumshauri Rais Samia
Swali lingine 🐼
Unaelewa maana ya Washauri wa Rais?ina maana hata yule dogo mlemavu (somebody matinyi if am not wrong) na yeye pia ni mtu nyeti???
Na washauri woote wa rais ni watu nyeti pia?
Au kuna kitu hutaki kuweka wazi au probably umezusha tu huo unyeti?
Hujamuelewa ukiangalia hapo ni kwamba mabadiliko makubwa yamefanyika kuanzia 2015Namheshimu sana Balozi Ammy Mpugwe, anadai amekuwa kwenye tasnia ya sukari akiwa na miaka 10 sasa ana miaka 76, kuna wakulima elfu 80 na elfu kumi wana mashamba, obvious elfu 70 ni manamba,
sasa, sasa miaka hamsini ya kilombero suger still we are importing suger? yet we are exporting suger on smaggling way based on economic osmosis!
anasema yeye hauzi vocha that means he is a gianty man. why are we still buying suger from brazil yet suger hii is cheaper than from his home land kilombero?
lakini, how is the man credible to our socity? ammy huyu wa tanzania one? huyu ammy wa capital mining? no no no, hapana kabisa.
Udini unatoka wapi hapo Amigo?Huwezi kunielewa Mimi sio mdinii
Ficha upumbavu wakoKwa mtazamo wangu, Bashe ameshinda hii Vita, amefanikisha kumtoa nyoka pangoni. Hii ni hofu ya financial bill, Mimi sijaona hoja yenye mashiko kwao, zaidi ya kujitetea kuwa wao sio maharamia Wala so mapapa. Ila kwangu Bashe amewashika pabaya. Amepiga kwenye mshono. Bashe anatakiwa kuungwa mkono na kupewa nguvu.
Ndivyo vilivyo vijitu vya namna ile.😀 😀 😀 rango ana kibri sana tena mjeuri haswaaa
Kuungwa mkono kwa lipi? Jiulize nini sera endelevu ya serekali ya CCM katika sector ya sukari? Miaka michache iliyopita JPM alihamasisha kwa nguvu kubwa Bakhresa anzishe kiwanda cha sukari Bagamoyo na wakati huo huo serekali ikawekeza kwenye kiwanda kipya. Leo hii waziri wa serekali ya CCM (Bashe) anajitokeza hadharani kwamba eti hatajali hata kama mashamba yote ya miwa nchini yatageuzwa kulima mpunga. Halafu mtu mwenye akili timamu anasema tumwunge mkono Bashe. Kweli TZ haitang'oa nanga.Kwa mtazamo wangu, Bashe ameshinda hii Vita, amefanikisha kumtoa nyoka pangoni. Hii ni hofu ya financial bill, Mimi sijaona hoja yenye mashiko kwao, zaidi ya kujitetea kuwa wao sio maharamia Wala so mapapa. Ila kwangu Bashe amewashika pabaya. Amepiga kwenye mshono. Bashe anatakiwa kuungwa mkono na kupewa nguvu.
Nimesikiliza tangia mwanzo na nikaelewa maana yake.Inaelekea wewe hukusikia vizuri ile habari ya "ukiwaona watoto wa simba wanachezacheza". Nakusihi usikilize tena hicho kipande, halafu uchanganye na zako!
Hapa sijapaelewa vizuri.ina maana huwa tunauza sukari nje ya nchi?Amesema cha kushangaza, hadi Desemba vibali vya kuagiza sukari vilikuwa havijatoka na Kampuni ya Sukari Kilombero ikalazimika kuizuia meli yake iliyokuwa inapeleka tani 45,000 ya sukari nchi nyingine na kuagiza iingizwe nchini kwa lengo la kufidia upungufu mkubwa uliojitokeza.
kama alisema hivi ,siyo sahihi kabisa.hatuwezi kucha kulima miwa eti tutegemee sukari kutoa nje ya nchi.huku itakuwa ni kudhofisha uchumia wa nchi.tunatakiwa tulime miwe tuwe na sukari ya kutoshereza na inayozidi ili tuiuze nje ya nchi tupate dolla,euro,rupee etc.Leo hii waziri wa serekali ya CCM (Bashe) anajitokeza hadharani kwamba eti hatajali hata kama mashamba yote ya miwa nchini yatageuzwa kulima mpunga. Halafu mtu mwenye akili timamu anasema tumwunge mkono Bashe. Kweli TZ haitang'oa nanga
Issue ni Uhalali wa kibali!Kama wana fedha na wameweza kuleta tatizo nini?
Hata Azam ana mashamba ya sukari lakini anauza mandazi.
Ni poyoyo tu asiyeelewa kuwa moja ya biashara kubwa ni vocha Tanzania hii.