Noma sana..mimi nakumbuka kuna bro mmoja nilivyopona akaniambia ni "muda sasa wa wewe kutafuta demu na umwambie kabisa kuwa kisu chako ni kipya"..naikumbuka sana hiiKuna raha yake ya kutahiriwa ukiwa mkubwa, ila adha yake pia ni hatari.
Kulala uchi huku mkuyenge ukipigwa na upepo usiku kucha ni noma aisee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kuna jamaa mmoja alikuwa mkubwa kipindi hicho mimi nilikuwa na miaka 9, alipopona kidonda baada ya kutahiriwa akaenda kutest kwenye papuchi ya ng'ombe kama mkuyenge umeimarika kwa kazi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Noma sana..mimi nakumbuka kuna bro mmoja nilivyopona akaniambia ni "muda sasa wa wewe kutafuta demu na umwambie kabisa kuwa kisu chako ni kipya"..naikumbuka sana hii
Kuna jamaa mmoja alikuwa mkubwa kipindi hicho mimi nilikuwa na miaka 9, alipopona kidonda baada ya kutahiriwa akaenda kutest kwenye papuchi ya ng'ombe kama mkuyenge umeimarika kwa kazi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..Hii noma sana..
Kanda ya ziwa tulio wengi tunatahiriwa tukiwa wakubwa ndo maana huwa tuna mashine kubwa kubwa na zenye uwezo wa kutosha!Mi 4m 1
Chief nakumbuka mimi nimetahiriwa nina miaka 17 nikiwa nimesimama, hosp ya jeshi Kiabakari, nilivyorudi nyumbani sikusema asubuhi nikaamkia shamba niliweza kulima japo walinigundua kwa baadaye sana baada ya kuniona natembea upande upande.Kuna jamaa mmoja alikuwa mkubwa kipindi hicho mimi nilikuwa na miaka 9, alipopona kidonda baada ya kutahiriwa akaenda kutest kwenye papuchi ya ng'ombe kama mkuyenge umeimarika kwa kazi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hii ipo poa sana. Wangu ntatahiri akifikisha 7Miaka 4, 5 nilikuwa mdogo kweli sikumbuki mengi zaidi ya vilio tu vya walionitangulia kuingia chumba husika.
Tukae pembeni kweli..kuna zile jamii inabidi hadi usubirie wenzako wakue ndo mpelekwe jando..
Ina maana ulijipeleka mwenyewe kutahiriwa kwa siri...?Chief nakumbuka mimi nimetahiriwa nina miaka 17 nikiwa nimesimama, hosp ya jeshi Kiabakari, nilivyorudi nyumbani sikusema asubuhi nikaamkia shamba niliweza kulima japo walinigundua kwa baadaye sana baada ya kuniona natembea upande upande.
Ina maana ulijipeleka mwenyewe kutahiriwa kwa siri...?
Endapo usingefanya hivyo, wazazi wasingekupeleka kutahiriwa?
Ulivaa nguo za aina gani baada ya kutahiriwa kiasi kwamba usijulikane mapema, sisi mtu ukishatahiriwa unabaki kuvaa nguo moja tu(shati au t-shirt) halafu unajifunga shuka rubega kama wamasai. Hii inasaidia usitoneshe kidonda na usisababishe joto ambalo ni hatari kwa kidonda.
Sisi wanatolewa asubuhi Alfajiri kwenda kupigwa upepo na kukanyaga umande wakiwa peku pekuUnapaka na tumbaku mbichi kidonda kiwahi kupona. Hapo badala ya ganzi mbapelekwa mtoni mnaoga maji ya baridiiii, hiyo ndio ganzi inayofuatiwa na kisu kikali mno huku unatakiwa uonyeshe ukakamavu usilie.
Sisi wanatolewa asubuhi Alfajiri kwenda kupigwa upepo na kukanyaga umande wakiwa peku peku
Kama ndivyo, mbona huwa wanatairi mtoto wa umri wowote ukimpeleka?Kuna Daktar alinieleza kuwa ni vyema mtoto atahiriwe baada ya kumaliza darasa la saba akimaanisha miaka 14, hii itaepusha kuwa na mb*o fupi. Ikiwa chini ya hapo inaweza kuleta shida.
Yes nilijipeleka mwenyewe, wale wanataka mpaka uwe na 18, nakumbuka nilivaa kaptula ya Jezi so ilikuwa laini nilivaa kwenda na kurudi na wakati wote wa kuuguza, nilienda natembea na nikarudi natembea haikuwa mbali ni kama km 2 ganzi ilianza kukata nafika nyumbani.Ina maana ulijipeleka mwenyewe kutahiriwa kwa siri...?
Endapo usingefanya hivyo, wazazi wasingekupeleka kutahiriwa?
Ulivaa nguo za aina gani baada ya kutahiriwa kiasi kwamba usijulikane mapema, sisi mtu ukishatahiriwa unabaki kuvaa nguo moja tu(shati au t-shirt) halafu unajifunga shuka rubega kama wamasai. Hii inasaidia usitoneshe kidonda na usisababishe joto ambalo ni hatari kwa kidonda.
Hata sisi tulikuwa tunaambiwa ukitahiriwa ndio unakuwa kwenye utu uzima na hapo unafundishwa ujasiri wa mambo mbalimbali ambapo ndio wanapaita JandoniNi hiyo hiyo alfajiri mnayopelekwa mtoni upepo unawapata baraaabara mkiwa peku, mtoni yale maji ya baridi yanakoleza dozi tu.
Kimsingi, Babu alisema inatakiwa mtu akitahiriwa ndio aoe, inachukuliwa kama hatua ya kuingia utu uzima. Ukilia unaweza kukosa mchuchu wakati wa kuoa, kutokulia ilikua inaashiria ushujaa.
Wanamtahiri kwa sababu mzazi ndo umempeleka na umeamua atahiriwe kwa umri huo.Kama ndivyo, mbona huwa wanatairi mtoto wa umri wowote ukimpeleka?